Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Stress za maisha hizo nenda kalime kuna ardhi haina mwenyewe inataka watu kama wewe
 
Mimi nilimpa kula yangu Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli kula na wala sijutii acha arekebishe hii nchi mambo yalikuwa hayaendi .
 
Asante sana mkuu kwa Asante mkuu
 
Mnataka kusema kwamba yule aliyekuwa anahutubia kwa dakika tano tu angeweza kufanya yote yanayofanyika hivi sasa?.

Ama kweli, mnaota, tena ndoto za mchana kweupe.
 
Kwahiyo lizaboni kaja kivingine kumpondea mkulu?


Lakini Mimi sijampigia kura
 
Kwani ajira ni lazima kwa kila mtu? Watu tuchngamshe bongo zetu. Kuna nchi haziajiri miaka yote serikalini na bado ajira si tatizo.
Hujajibu swali langu kiongozi! Na hapa issue sio kusitishwa kwa ajira tu. Wapo amabo wapo serikalini lakini wamesitishiwa increments zao,promosheni na wengine wamehama ofisi nyingine zenye mishahara tofauti lakini hawajabadirishiwa mishahara.

Hata kama mwisho wa siku unalipwa buku 7 lakini kwenye ukweli tuseme, kwahili serikali inaboronga na inajiongezea chuki wa watumishi wake
 
Leo mmeturuka kabisa,haya unayoongea hapa ndio aliyatamka mwaka jana miez kama hii jangwani?
 
Kama ulimpigia kura Lowassa wewe ni mkazi wa kudumu TANAPA!
 
Watanzania sisi jamani kuna kipindi nilisikia watu walikua wanataka rais dikteta
 
kwa kuwa alisema watanzania tujiandae kuishi kama shetani basi itakuwa anatupeleka kuzimu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…