Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cmaanishi wewe mkuu namaanisha mtukufu[emoji146]
Asante mkuuNitoe hongera kwa wale ambao waliweza kutathimini kwa akili yao ya kuzaliwa kuwa Magufuli hakutakiwa kuchaguliwa na kukabidhiwa kijiti cha urais, kwa watu Wa aina hiyo waliona mbali na naweza kusema kuwa hawa watu ni mageniazi
Mwenye ufahamu na afahamu
Hujajibu swali langu kiongozi! Na hapa issue sio kusitishwa kwa ajira tu. Wapo amabo wapo serikalini lakini wamesitishiwa increments zao,promosheni na wengine wamehama ofisi nyingine zenye mishahara tofauti lakini hawajabadirishiwa mishahara.Kwani ajira ni lazima kwa kila mtu? Watu tuchngamshe bongo zetu. Kuna nchi haziajiri miaka yote serikalini na bado ajira si tatizo.
Leo mmeturuka kabisa,haya unayoongea hapa ndio aliyatamka mwaka jana miez kama hii jangwani?Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
Kama ulimpigia kura Lowassa wewe ni mkazi wa kudumu TANAPA!Nitoe hongera kwa wale ambao waliweza kutathimini kwa akili yao ya kuzaliwa kuwa Magufuli hakutakiwa kuchaguliwa na kukabidhiwa kijiti cha urais, kwa watu Wa aina hiyo waliona mbali na naweza kusema kuwa hawa watu ni mageniazi
Mwenye ufahamu na afahamu