Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Ni kweli mama anafaa, lakini nyie ukawa bila ukali mambo hayaendi,hapa ni magu.na gambo kiboko chenu.
Uongozi si ukali bali hekima, busara na ushirikiano ukiona kiongozi yoyote ana hulka ya kauli za kubomoa na kejeri hatufai hata kama afanye kitu gani kizuri maana hajengi nchi bali anaweka mpasuo katika jamii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] langu halisomi kabisaa
Pesa ni kila kitu, ukiwemo uhuru wa kujieleza....bado kido nitakuja kutoa maoni yangu.
 
Ngoja nipate majiii ya piliii nikirudiii nakuja kushusha point... [emoji45][emoji45]
 
**.........amemzidi sana mkuu,kama trip,na mama Hilary Clinton vile**

Trip ndio nani?
 
Wanawake wanaweza.
Tumuwezeshe na kumjengea misingi bora 2025 aje kuwa rais atakuwa tayari ana uwezo na uzoefu wa kutosha na miaka 10 ya kikatiba kukalia kiti itakuwa imeshatimia.
 
Dk shein alikuwa makamu wa rais baadae akaenda kugombea Zanzibar na kuwa rais kamili wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Njia hii ni nzuri pia kwa mama baada ya kutumikia bara kama makamu 2020 aende Zanzibar kugombea nafasi ya Kiti.
 
Mama gani anayezungumziwa hapa? Kuna mama mmoja mkimya, yeye huzunguka mikoani kugawa misaada kwa wanaoishi kwenye mazingira magumu. Pia kuna mama wa mazingira na muunganiko wa watu. Wote wako vizuri, ila binafsi nampenda mama wa kwanza japo sijawahi kumsikia akiongea na kumpima uelewa wake wa mambo.

Kama vipi MCC mtuwekee CD ya mama hapo 2020. CD ya baba tumechoka nayo tayari, inachagua wasikilizaji wanaoipenda na ina scratch.
 
Mpinzani gani kachukiwa kwa mfano kama ni mbowe kulipa deni la NHC zile ni pesa za watanzania kwa ajili ya kuendeleza watanzania,
Tanzania ni BORA KULIKO VISACOS VYETU UCHWARA,
Wapinzani kwa taarifa yenu ni chachu ya maendeleo
 
Dah...mzitunze ndoto zenu.... JPM ndiyo rais......Na hamta fisidi tena[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…