Nashauri...
Anayempa ushauri rais wetu mpendwa amefanikiwa sana na apewe tuzo ya ushauri wake bora .
Amefanikisha kushauri mambo muhimu yafanywe na rais wa nchi na kupata washangiliaji wengi ambao wengine hawajui wanashangilia gori au gori la mkono?
Kiukweli kama alipewa tuzo jecha kwa kuendesha uchaguzi kwa amani kula Zanzibar sasa na Mimi nashauri Tuandae sherehe tumpe tuzo ya ubunifu huyu mshauri mkuu wa rais wetu mpendwa.
Kwa kufanikisha yafuatayo...
1 : kukusanya pesa za mahafa na ziende kusikojulikana .
2: Kuzima bunge live
3: Kuzuia mikutano mpaka 2020
4: kuamia Dodoma
5: kusitisha Ajira
6: kuwanyima wanafunzi mikopo ya chuo kwa kuwa ni walevi na wananunua Tv.
Hakika amefanikiwa kutoa ushauri ulio bora kabisa ndani ya mwaka mmoja baada ya miaka 5 tutakuwa tumefanikiwa kiasi cha kutisha..
Nashauri apewe tuzo ni Genius.