Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Mada hii ilikuwa haijadili CDM ?! Unahamisha magoli kama nilivyoonya hapo juu "JADILI HOJA"Chadema haina mandate ya kudai katiba mpya yaani ile rasimu ya warioba ambayo ndio wananchi tunaitaka, labda waanzishe katiba yao na waipiganie. Kila kitu inacjopinga rasimu ya warioba sasa hivi chadema ndo wanashakingia kifua.
mkuu kuna mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali, mwanasheria mkuu wa serikali na mpiga ramli mkuu wa serikali...nakupenda tanzania wanguhivi wakati wakujaza form za mkopo kulikua na kipengele kinachoonyesha unapiga gambe ama vipi? au maafisa wa bodi wana macho ya rohoni..
Yaani hata 50% ya waliopewa aijafika wakati kikwete alitoa karibu kwa wanafunzi 80%+Kwenye mkopo kaka pamenigusa sana,naona ndoto zangu zinapotea
Sasa wewe bavicha unataka akuongoze nani kudai katiba hiyo unayodai??Chadema haina mandate ya kudai katiba mpya yaani ile rasimu ya warioba ambayo ndio wananchi tunaitaka, labda waanzishe katiba yao na waipiganie. Kila kitu inacjopinga rasimu ya warioba sasa hivi chadema ndo wanashakingia kifua.
Uwezi ona kama ni gamba la kijani..umeJaribu kufanya sarcasm ILA imekushinda maana hamna Hoja authentic uliyoJenga mpka sasa Ivi zaidi Ya pumba tu naona
goli.... wanashangilia gori au gori la mkono?..
Na ndio maana sasa hivi asilimia kubwa ya wahitimu wa vyuo vikuu hawajiwezi kiuwezo sababu mikopo haikwenda kwa watu wenye sifa stahiki.Yaani hata 50% ya waliopewa aijafika wakati kikwete alitoa karibu kwa wanafunzi 80%+
Labda sema wewe ujiweziNa ndio maana sasa hivi asilimia kubwa ya wahitimu wa vyuo vikuu hawajiwezi kiuwezo sababu mikopo haikwenda kwa watu wenye sifa stahiki.
sirikeli haina hela mkuu pesa zimepelekwa kwenye gushuli za kimaendeleosijui ni lini misaada ya Bukoba itawafikia walengwa.
Kwa sababu haizuii mishahara na posho zao kuingia.Kwanini wasijiuzulu kama awasikilizwi?
Ni aibu mkuu jamaa hata kutia mguu kagoma kabisa lakini soon utaona akienda chato.....
Acha Uchochezi, Tunaimarisha chama kwanza.sijui ni lini misaada ya Bukoba itawafikia walengwa.
MFALME AU MFALME JUHA?Mwenye kile kitabu kinachoitwa "MFALME ****" aniazime nikajibie mtihani next week!!
..magamba nishavua Yote npo Open minded,nasikiliza Hoja tu mimi mtoa mada ndo amedhihirisha kabisa Yupo upande GaniUwezi ona kama ni gamba la kijani
Pole sana mkuuKwenye mkopo kaka pamenigusa sana,naona ndoto zangu zinapotea