Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Chadema haina mandate ya kudai katiba mpya yaani ile rasimu ya warioba ambayo ndio wananchi tunaitaka, labda waanzishe katiba yao na waipiganie. Kila kitu inacjopinga rasimu ya warioba sasa hivi chadema ndo wanashakingia kifua.
Mada hii ilikuwa haijadili CDM ?! Unahamisha magoli kama nilivyoonya hapo juu "JADILI HOJA"
 
..umeJaribu kufanya sarcasm ILA imekushinda maana hamna Hoja authentic uliyoJenga mpka sasa Ivi zaidi Ya pumba tu naona
 
hivi wakati wakujaza form za mkopo kulikua na kipengele kinachoonyesha unapiga gambe ama vipi? au maafisa wa bodi wana macho ya rohoni..
mkuu kuna mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali, mwanasheria mkuu wa serikali na mpiga ramli mkuu wa serikali...nakupenda tanzania wangu
 
Kama jecha aliweza kuombewa tuzo basi na washauri wa litembo nao wanastahili wapewe tuzo
 
Chadema haina mandate ya kudai katiba mpya yaani ile rasimu ya warioba ambayo ndio wananchi tunaitaka, labda waanzishe katiba yao na waipiganie. Kila kitu inacjopinga rasimu ya warioba sasa hivi chadema ndo wanashakingia kifua.
Sasa wewe bavicha unataka akuongoze nani kudai katiba hiyo unayodai??
 
mwaka mmoja tu, je hyo minne kama siyo tisa iliyobaki?, muda mwingine JK alikuwa anaunafuu,
 
Yaani hata 50% ya waliopewa aijafika wakati kikwete alitoa karibu kwa wanafunzi 80%+
Na ndio maana sasa hivi asilimia kubwa ya wahitimu wa vyuo vikuu hawajiwezi kiuwezo sababu mikopo haikwenda kwa watu wenye sifa stahiki.
 
Power does not corrupt men; fools, however,
if they get into a position of power, corrupt
power.
 
Kwenda kuwafariji hataki bilioni 15 za wahanga wa tetemeko bado kazikalia ndani ya Ikulu. Mtu wa ajabu sana huyu anajiona kama Mungu vile. Aibu ya juzi Arusha na yule taahira wa kule hajatia hata neon yuko kimyaaa. halafu bado kuna watwanataka kumsifia huyu anayeangamiza nchi kwenye kila sekta. Nasikia anatafuta kiki ya kutokea maana akipotea hivi basi huwa hatoki mpaka awe na kiki ya kutokea sijui itakuwa n ziara nyingine Bandari, Uwanja wa ndege au wapi. HAPA MAJANGA TU!

Ni aibu mkuu jamaa hata kutia mguu kagoma kabisa lakini soon utaona akienda chato.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom