Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
Onhooooo jeuri ya kuzungusha haipo siku hizi [emoji23] [emoji23] ni moja tu afu unasepa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Oya Mi Ni Mdau wa Pombe Acha uchoyo
Waiter zungusha [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
Uyu Jamaa Kabana sana atheeOnhooooo jeuri ya kuzungusha haipo siku hizi [emoji23] [emoji23] ni moja tu afu unasepa
Mi natamani kikwete angekataa kung'oka madarakani ili maisha ya endelee kuwa mazuri kuliko kutuletea huyu aliyetuletea, mi jana nimemshangaa kweli eti analalamika kunao mambo mengi ya kufanya kwahiyo hawezi dunga yote kwa mara moja, nimuulize hivi mbona kikwete alikuwa anaweza, hii inaonesha wazi kwamba uongozi hauwezi na nchi imemshinda, watanzania tujifunze kuchagua Sera badala ya push-ups.COME BACK KIKWETE!!! [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
KIKWETE aliwezaje kufanya yote haya?
1. Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%
2. Kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA
3. Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ***** wa Udom*
4. Kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutwa mwaka huu
5. Hakukusanya kodi ipasavyo
6. TRA ilikua shamba la bibi lakini still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea
HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU?
HELA ZIMEENDA WAPI?
WHY TUNATESEKA HIVI AS IF NI WAKIMBIZI
MKOPO HAKUNA
DAWA HOSPITALINI HAKUNA
KODI IKO JUU
AJIRA ZIMESITISHWA
God help us..come back kikwete[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
kumbe nyie ndio mnaomdrive mh[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mi natamani kikwete angekataa kung'oka madarakani ili maisha ya endelee kuwa mazuri kuliko kutuletea huyu aliyetuletea, mi jana nimemshangaa kweli eti analalamika kunao mambo mengi ya kufanya kwahiyo hawezi dunga yote kwa mara moja, nimuulize hivi mbona kikwete alikuwa anaweza, hii inaonesha wazi kwamba uongozi hauwezi na nchi imemshinda, watanzania tujifunze kuchagua Sera badala ya push-ups.
Wala hamna anaye mdrive, ni kwa pressure ya uraisi hawezi ndomana analalama lalama tu, mbona waliopita walikua hawalalami, he is unfit to be URT president, njia rahisi ni yeye kujiudhuru na sio kututesa wananchi.kumbe nyie ndio mnaomdrive mh[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Maprofesa hewateuzi za mkuu zimesheheni watu wenye elimu ya juu kabisa,wengi ni maprofesa na madokta wa fani mbalimbali,na wengi wao wametufundisha jinsi gani tunaweza kufanya nchi isonge mbele.
mchawi mpe mwana alee!!! hao manguli waliofundisha vyuo vikuu vya ndani na nje sasa ndio wamepewa wayatekeleze hayo waliyokuwa wanayaimba madarasani miaka nenda rudi,na wakikwama hakika watadharaulika na hakuna atakayewaamini
Dalili za kukwama ziko wazi,hasa kwa.yule dokta wa wizara ya fedha,dokta huyu naamini mpaka sasa uchumi umempiga chenga,kila mahala ni malalamiko.
endelea kutaja kikosi hiki cha maprofesa na jinsi walivyokwama.