Tatizo rais kakamata maslahi ya watu wenye pesa hivyo wanatumia kila jitihada kuonyesha hamna kitu lakini wanaoelewa hawana shida. Rais endelea na majukumu yako usikatishwe tamaa na kundi hili la watu wanaokodishwa kuongea upuuzi katika mitandao ya kijamii. Wao jambo jema huligeuza kuwa baya. Komboa hii inchi kutoka kwa matapeliKumekuwa na lawama zinazomkabili mkuu wa nchi kuhusu mambo mbalimbali. Je shida iko wapi? Ni uelewa wetu mdogo hivyo hatujui afanyalo au uelewa wetu mkubwa zaidi tunaona anaboronga?
Usipojutia ukijutia hiyo haituhusu...Ni maamuzi yako mwenyewe kwa utashi wako mwenyewe. Kama ulikuwa una akili za kuwapigia kura wasanii wa siasa ina maana level yako ya akili haipo pana sana kiasi cha kumuelewa nini JPM anafanya. Yeyote aliyepigia kura wasanii wa siasa hawezi keulewa sababu z waliompigia kura JPM sababu level yake ya akili ni ndogo sana kujua maendeleo yanapatikanaje katika nchi yeoyote duniani. Utakuja kumuelewa JPM sio sasa ila wenye maono wa wapi nci inapaswa kwenda tunamuelewa sana sababu tunajua gharama ya mafanikio ni kubwa sana. Usipokuwa tayari kuyagharimia mafanikio basi hustahili hata kuyapata mafanikio..Kiukweli siji jutia kura yang kwa Hali ya uchum na ugum wa maisha ninao uona mtaani, kila mtu analia mama ntilie wateja hamna buchan nyama zinaoza wateja hamna, nyanya, mishahar inapunguzwa sekta binafs kutokana na kushuka kwa uzarishaji, Bill 850,ajira nje, watumishi hewa, posho za kutosha, mirad ilitekelezeka, madawa yalikuwepo, mikopo kwa wanachuo, safari za nje ndege kupishana angan, mchakato wa katiba mpya ulianza, bembejeo zilifika kwa wakati, increments on time , tusimtukane mamba kabla hatuja vuka mto , ubora wako mheshiwa Sasa nimeona ama kweli tuzo ulizo chukuwa ulistahili kuzipata kama kiongoz bora, mung akujalie maisha marefu, til 1.3 hakuna ajira mwaka mzima, mikopo shida, hamna safari za nje, madawa shida, bank Zina kufa, watumishi hewa nje, hamna increments, ajira kusitishwa, labda cjajuwa kanun za uchum,mung barik Tanzania na watu wake
[emoji28] [emoji28] [emoji85]Wala hamna anaye mdrive, ni kwa pressure ya uraisi hawezi ndomana analalama lalama tu, mbona waliopita walikua hawalalami, he is unfit to be URT president, njia rahisi ni yeye kujiudhuru na sio kututesa wananchi.
Kwahiyo wahitimu wa vyuo wanaosubiri ajira, wanafunzi wa vyuo vikuu waliokosa mikopo, wafanyakaz waliositishiwa ajira na nyongeza ya mshahara ndio majizi, mafisadi na wakwepa kodi? Tutake radhi bhana, mafisadi na majizi ni wale wa Richmond, iptl, escrow, lugumi, kigoda, etc na kwa bahat mbaya wanaishi kama Malaika, hawajaguswa mpaka leo, kazi yake kuonea tu wanyonge.Anatupekeka kwenye neema baada ya majizi, mafisadi wakwepa kodi kubanwa
JPM......tuangazie wananchi wako Hali si hali
Dollari inazidi kupandisha morii
Shambani jua linakuwa Kali na hali si shwari, ya kaisari anapewa askari Wajasiliamali tunabaki na mabakuli
Maisha yanageuka tofani tukumbuke asilani Wanazuoni kamwe hawawezi kuelewa hapakazi tu na njaa mifukoni, Elimu ya juu sasa imekuwa anasa maskini ni adimu kuipata.
Mapenzi kwenye familia yanazidi kuyeyuka na wazazi majukumu kuyatelekeza bila sababu kuzingamua
Sasa imekua pambio hatujinyongi, hatunywi sumu CCM mbele kwa mbele tumekubali sasa yetu ni matembele Na kande
Waacha waisome namba weeeee......CCM mbele kwa mbele