kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
Badilikeni tu maana amna jinsi sasaAngalau wewe umejaribu kujibu, mkishakusanya fedha hizo zinaenda wapi? Halimashauri zinalia na mitaani ndo usiseme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Badilikeni tu maana amna jinsi sasaAngalau wewe umejaribu kujibu, mkishakusanya fedha hizo zinaenda wapi? Halimashauri zinalia na mitaani ndo usiseme
Nyumbu in their quality..et hawajui tunakoelekea.. Education Education Education
Tuambie ww tunaelekea wapi?Nyumbu in their quality..et hawajui tunakoelekea.. Education Education Education
Uliwahi kuzisoma ahadi za Kikwete alizotoa wakati wa kuomba "kula" na ilani ya CCM wakati huo?Kuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome....
Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia.
Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa..
Kwanini wafiche? Dini yao?Serikali inayo dini ila imejificha .chunguza wakuu wa wilaya wakurugenz na nyadhifa zote kama bodi ni 80% kwa 20%
Utawasomeshea wapi udini umeanzi chekechea ?Acheni upuuzi hao wanaosema dini waulize wamesomesha madaktari wangapi mabingwa ili tuanzie kuwagawa kidini kila mkoa na wilaya.somesheni watoto nyie wenye dini.
Hadi leo wewe utakuwa umeisoma namba, au na wew ni miongoni mwa wateuleAkupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!