Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado una hasira za kubwagwa kwa mamvi kama gunia la mkaa?n
yie ndo msubiri 2020 umdhaniae ndie kumbe..............endeleeni kumshika mkono kipofu ..........
Serikali yagawa vifaa vya ujenzi kwa wahanga wa tetemeko, mliokuwa mnabeza pongezeniHuyu rais wetu amekuwa akijinasibu kuwa nchi hii ni tajiri na imechezewa kwa mda mrefu mbona anaharibu hata yale mazuri aliotuachia baba Riz wanafunzi wa Elimu ya juu watapata shida, Watumishi wa Umma vile vile waendesha dala dala kwa Dar, boda boda, hospitalini dawa shida
*Kubwa zaidi ni hili la kagera alishindwa kufika kule watu hawakutoa pesa zao ili zijenge miundo mbinu bali ilikuwa kuwachangia wahanga ile ilikuwa ni misaada ya kibinadamu wao wamebadilisha matumizi na kufanyia shughuli za kiserikali zile pesa ambazo mkuu amekuwa akijinasibu nazo zako wapi*
Hata Yesu alikataliwa,akasulubiwa japo alikuja duniani kutukomboa,,sembuse presdaa wetu?Huyu rais wetu amekuwa akijinasibu kuwa nchi hii ni tajiri na imechezewa kwa mda mrefu mbona anaharibu hata yale mazuri aliotuachia baba Riz wanafunzi wa Elimu ya juu watapata shida, Watumishi wa Umma vile vile waendesha dala dala kwa Dar, boda boda, hospitalini dawa shida
*Kubwa zaidi ni hili la kagera alishindwa kufika kule watu hawakutoa pesa zao ili zijenge miundo mbinu bali ilikuwa kuwachangia wahanga ile ilikuwa ni misaada ya kibinadamu wao wamebadilisha matumizi na kufanyia shughuli za kiserikali zile pesa ambazo mkuu amekuwa akijinasibu nazo zako wapi*
Huyu anajitia majaribu mwenyewe 2020 anayotegemea ataiba kura na hazitatosha huyo February ataagiza hata wakorea hazitatosha.Na watumishi wana kinyongo Na wamepaniaaa,kwani stahiki zao zumezimwa kimya.
Taasisi za kifedha hazitoi fedha,yani ni tafrani
ManinaYaani "ukimchoka" wewe basi ndio watanzania wote wamemchoka? Wewe ni mfuasi wa mamvi na ni dhahiri una mtazamo hasi. Subiri 2020.
Kwa vile hayupo,angekuwepo ningemwambia akualike tar. 1,2017 mnywe nae chai ili ujue ndoto zako si lolote mbele ya MunguNimeota Baba Yako Atakufa Kwa Ajali Mbaya Sana Ya Gari Kabla Ya Mwisho Wa Mwaka Huu.
Eti anaweka mambo sawa..... Au kula rambirambi ndio kuweka mambo sawaNi mapema mno bado anarekebisha kuweka mambo sawa tuwe na subira
Huyu rais wetu amekuwa akijinasibu kuwa nchi hii ni tajiri na imechezewa kwa mda mrefu mbona anaharibu hata yale mazuri aliotuachia baba Riz wanafunzi wa Elimu ya juu watapata shida, Watumishi wa Umma vile vile waendesha dala dala kwa Dar, boda boda, hospitalini dawa shida
*Kubwa zaidi ni hili la kagera alishindwa kufika kule watu hawakutoa pesa zao ili zijenge miundo mbinu bali ilikuwa kuwachangia wahanga ile ilikuwa ni misaada ya kibinadamu wao wamebadilisha matumizi na kufanyia shughuli za kiserikali zile pesa ambazo mkuu amekuwa akijinasibu nazo zako wapi*
Kwa muda gani, au criteria zip maana unazoziona? watu wamechoka sana mtaaniNi mapema mno bado anarekebisha kuweka mambo sawa tuwe na subira
Umebaki kutukana tu. Nenda kampelekee Lema uji selo. Nasikia safari hii hafungi. Ha ha ha. Unachekesha.Manina
reject hilo la SAUT Mwanza katika ubora wakeTunashukuru kuujua ukomo wa uwezo wako wa ' kufikiri '.
reject hilo la SAUT Mwanza katika ubora wake
Mkuu leo saa mbili usiku nilikuwa naangalia taarifa ya habari ITV kwenye Baa tukiwa na wazee ilipofika ile habari ya wanavyuo kukosa mikopo walishangaa sana na wakasema hii serikali sijui inaelekea wapi mbona afadhali ya kikwete haya matatizo hayakuwepo..Huyu rais wetu amekuwa akijinasibu kuwa nchi hii ni tajiri na imechezewa kwa mda mrefu mbona anaharibu hata yale mazuri aliotuachia baba Riz wanafunzi wa Elimu ya juu watapata shida, Watumishi wa Umma vile vile waendesha dala dala kwa Dar, boda boda, hospitalini dawa shida