1. Watu wanalalamika kuhusu michango ya tetemeko.
2) Watu wanalalamika kuhusu ugumu wa maisha mtaani.
3) Kuna shutuma za rushwa ya milioni kumikumi
4) Kuna wanafunzi leo wameandamana kukosa mikopo
5)Watu wanalalamika kuhusu kuminywa demokrasia
6) Kuna watu wa imani fulani wanalalamikia teuzi
7)Watu wanalalamika ajira serikalini hakuna
8)Watu wanalalamika ugumu wa mikopo benki
9)Watu wanalalamika trafiki kuwakamua kwelikweli
10) Watu wanalalamika chanjo hospitalini hakuna
Je tumekosea wapi? Na tufanye nini tuweze kusogea?
Haya maswali mwulize kikwete mkapa na makamba. Mungu anawaona.