Aventus
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 2,011
- 2,168
Mwanzo mgumu Ila itakaa sawa tu tumpe mudaHuyu JPM anaweza japo kiuchumi bado haijakaa vyema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanzo mgumu Ila itakaa sawa tu tumpe mudaHuyu JPM anaweza japo kiuchumi bado haijakaa vyema
Bro tz ya leo wasomi weng,social media etc,so lazma wangemkosoa kwa kina.Kwanini mkuu?
yeah right....bado "UHAKIKI" unaendelea.Mwanzo mgumu Ila itakaa sawa tu tumpe muda
Kweli kabisa mkuu. Mi naona hii imesaidia sana maan kuna madudu mengine yangekuwa yanapita kimykimya.Bro tz ya leo wasomi weng,social media etc,so lazma wangemkosoa kwa kina.
Kwani ulimuuliza mama ko ndio akakupa jibu ukaona bora utoe ushauri wa kumuuliza mama?Muulize Mama'ko nyumbani atak ujibu vzr
wote hao watapiga kura 20201. Watu wanalalamika kuhusu michango ya tetemeko.
2) Watu wanalalamika kuhusu ugumu wa maisha mtaani.
3) Kuna shutuma za rushwa ya milioni kumikumi
4) Kuna wanafunzi leo wameandamana kukosa mikopo
5)Watu wanalalamika kuhusu kuminywa demokrasia
6) Kuna watu wa imani fulani wanalalamikia teuzi
7)Watu wanalalamika ajira serikalini hakuna
8)Watu wanalalamika ugumu wa mikopo benki
9)Watu wanalalamika trafiki kuwakamua kwelikweli
10) Watu wanalalamika chanjo hospitalini hakuna
Je tumekosea wapi? Na tufanye nini tuweze kusogea?