Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mkuu?Tanzania ya leo angepewa hata nyerere ingemshnda
Yaani "ukimchoka" wewe basi ndio watanzania wote wamemchoka? Wewe ni mfuasi wa mamvi na ni dhahiri una mtazamo hasi. Subiri 2020.Huyu rais wetu amekuwa akijinasibu kuwa nchi hii ni tajiri na imechezewa kwa mda mrefu mbona anaharibu hata yale mazuri aliotuachia baba Riz wanafunzi wa Elimu ya juu watapata shida, Watumishi wa Umma vile vile waendesha dala dala kwa Dar, boda boda, hospitalini dawa shida
*Kubwa zaidi ni hili la kagera alishindwa kufika kule watu hawakutoa pesa zao ili zijenge miundo mbinu bali ilikuwa kuwachangia wahanga ile ilikuwa ni misaada ya kibinadamu wao wamebadilisha matumizi na kufanyia shughuli za kiserikali zile pesa ambazo mkuu amekuwa akijinasibu nazo zako wapi*
Mkuu hivi kumbe hata kuwanyima mikopo wanafunzi kuna jambo analirekebishaNi mapema mno bado anarekebisha kuweka mambo sawa tuwe na subira
Huyu JPM anaweza japo kiuchumi bado haijakaa vyemaTanzania ya leo angepewa hata nyerere ingemshnda
yie ndo msubiri 2020 umdhaniae ndie kumbe..............endeleeni kumshika mkono kipofu ..........Yaani "ukimchoka" wewe basi ndio watanzania wote wamemchoka? Wewe ni mfuasi wa mamvi na ni dhahiri una mtazamo hasi. Subiri 2020.
Nimeota Baba Yako Atakufa Kwa Ajali Mbaya Sana Ya Gari Kabla Ya Mwisho Wa Mwaka Huu.Wengi wamegundua kwamba ni janga la Taifa. Yuko busy kukandamiza katiba ya nchi kwa kuzuia mikutano na uendeshaji wa vyama vya upinzani na kutia ndani wapinzani ambao hawana hatia yoyote. Mambo muhimu yote nchini yanadorora.