Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri na wewe unyooshwe!
M 7 unazo mkuu?Amani iwe nanyi ndugu zangu,hii kauli si njema hata kidogo,najiuliza waliopindisha ni kina nani?nchi mupindishe wenyewe kisha muinyoshe wenyewe itawezekana kweli? Yangu macho ila kumbukeni taabu na dhiki zinaongezeka kila uchao nyinyi mnakula bata. Tena zile million 10 mlizogawana km ni kweli mungu awapige mapigo alompiga firauni.Acheni kulindana naomba mseme nani aliipindisha?
Lakini ccm ndio iliyomtia makunyanzi.Subiri na wewe unyooshwe!
Na hoyo aliyechaguĺiwa na jk ndiye aliyeapa kumlinda kwa nguvu zake zote.Nchi aliipindisha Kikwete, ambaye ndiye aliyemteua kuwa mgombea...yaani ndie aliyempa urais
Aliyeipindisha si ndio hao hao ccm. Angeanza na wale waliyoipindisha. Huu ndio unafiki wa wana ccm na wale wasiojitambua kwa kufunikwa na propaganda dhaifu na za uongo.Mwache JPM afanye kazi yake, nchi ilishapinda hadi utosini.
Kwa kashifa hiyo inashangaza sana na kutia kinyaa na ukakasi. Mkulu kashachafuka na kuonyesha rangi yake kuwa na yeye ni wale wale wa ukoo wa panya.Nchi inaweza kunyoshwa kwa kugawa milioni 10 kwa kila mbunge wa ccm?
Aliyepindisha ni nani?Mwache JPM afanye kazi yake, nchi ilishapinda hadi utosini.