Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
1. Watu wanalalamika kuhusu michango ya tetemeko.
2) Watu wanalalamika kuhusu ugumu wa maisha mtaani.
3) Kuna shutuma za rushwa ya milioni kumikumi
4) Kuna wanafunzi leo wameandamana kukosa mikopo
5)Watu wanalalamika kuhusu kuminywa demokrasia
6) Kuna watu wa imani fulani wanalalamikia teuzi
7)Watu wanalalamika ajira serikalini hakuna
8)Watu wanalalamika ugumu wa mikopo benki
9)Watu wanalalamika trafiki kuwakamua kwelikweli
10) Watu wanalalamika chanjo hospitalini hakuna

Je tumekosea wapi? Na tufanye nini tuweze kusogea?

Haya maswali mwulize kikwete mkapa na makamba. Mungu anawaona.
 
1. Watu wanalalamika kuhusu michango ya tetemeko.
2) Watu wanalalamika kuhusu ugumu wa maisha mtaani.
3) Kuna shutuma za rushwa ya milioni kumikumi
4) Kuna wanafunzi leo wameandamana kukosa mikopo
5)Watu wanalalamika kuhusu kuminywa demokrasia
6) Kuna watu wa imani fulani wanalalamikia teuzi
7)Watu wanalalamika ajira serikalini hakuna
8)Watu wanalalamika ugumu wa mikopo benki
9)Watu wanalalamika trafiki kuwakamua kwelikweli
10) Watu wanalalamika chanjo hospitalini hakuna

Je tumekosea wapi? Na tufanye nini tuweze kusogea?
.
Proverbs 29:2
When the righteous increase, the people rejoice, But when a wicked man rules, people groan.
 
Luka 23:28

"Yesu akawageukia akawajibu akisema..

enyi binti za Yerusalemu msinililie mimi, Bali lieni kwa ajili yenu wenyewe na watoto wenu"

kuna watu wamekaa kuilaumu ccm na serikali kila siku ..

wakati kwenye uchaguzi mwaka Jana walivaa khanga na kofia na tisheti na kuzomea wale Wa upinzania kuwa wacha waisome namba...

Leo hii kilio kwa wafanyakzi no nyongeza....huko mtaani hali tête ...hospitali kuna upungufu Wa dawa vilio vinatanda kila kona...

nami naunga mkono hilo andiko hapo juu...

tujilaumu wenyewe kwa kuichagua ccm ....

chama kile kile kikichotufanya hivi tulivyo kwa miaka 54+ bado tunakichagua tena halafu tunawalaumu tunaowachagua!!

hivi ukienda dukani ukachagua bidhaa mbovu wewe mwenyewe kwa hiari yako utamlaumu mwenye duka?

hebu tulieni dawa iingie vizuri...

kwa wafanyakzi toeni mawazo ya nyongeza za mishahara kwanza...

nasema kabisa serikali hii inapaswa kupongezwa.... ipongezwe kabisa kwa hatua mbali mbali inazochukua...

mbele kwa mbele...!!
 
Unauliza tulikosea wapi[emoji3][emoji3][emoji3]

Tulifanya maamuz sahihi ila tukapigwa jechalisation...
 
Ni kizazi cha kulalamika.Wakati wa Uchaguzi watamchagua tena mlalamikiwa ili waendelee kulalamika.
 
25 October 2016 watanzania walilingiza taifa kwenye mto wenye mamba.
Vilio hivi ni nonstop.
 
Tulipokosea ni pale Watanzania tulipokua tukikwepa somo la hesabu siku zote tulikua tunakimbilia kusoma historia au maarifa ya jamii, sasa miaka mi 5 hii somo la hesabu ni LA LAZIMA Na ndo maana tunafeli tunalalamika tuendelee kujifunza namba tutazisoma tu kwa usanifu
 
1. Watu wanalalamika kuhusu michango ya tetemeko.
2) Watu wanalalamika kuhusu ugumu wa maisha mtaani.
3) Kuna shutuma za rushwa ya milioni kumikumi
4) Kuna wanafunzi leo wameandamana kukosa mikopo
5)Watu wanalalamika kuhusu kuminywa demokrasia
6) Kuna watu wa imani fulani wanalalamikia teuzi
7)Watu wanalalamika ajira serikalini hakuna
8)Watu wanalalamika ugumu wa mikopo benki
9)Watu wanalalamika trafiki kuwakamua kwelikweli
10) Watu wanalalamika chanjo hospitalini hakuna

Je tumekosea wapi? Na tufanye nini tuweze kusogea?

Nadhani tumekosea kuchagua mtu wa kutusogeza 2020

Itabd tujipange haswa...............

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
"ili jipu lipone shurti likamuliwe hadi damu itoke" ... Damu ikiisha mwilini jipu litapona au mtabaki na maiti?
 
Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
WALIOZOEA PESA ZA BURE ZA MISSION TOWN HAWATAACHA KULALAMIKA. WAMEKWAMA.
 
Hii nchi ili ipate maendeleo yaliyo bora kwa wanachi wake lazima CCM ikae pemben maana miaka 50 sasa hamna cha maana tunazid kudorola kila kuitwapo leo tukiwapumzisha CCM hata awamu moja tu wakirud watakuwa wamepata akili.
 
Kuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome....

Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia.

Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa..

Mbona Mheshimiwa Rais, anania njema kabisa na muelekeo wa nchi unaonekana wazi. Sema kuongoza ni kazi kubwa
 
Hii nchi ili ipate maendeleo yaliyo bora kwa wanachi wake lazima CCM ikae pemben maana miaka 50 sasa hamna cha maana tunazid kudorola kila kuitwapo leo tukiwapumzisha CCM hata awamu moja tu wakirud watakuwa wamepata akili.

CCM ikae pembeni halafu ndo uwaweke akina nani chadema , kidding .. superkidding
 
Amani iwe nanyi ndugu zangu,hii kauli si njema hata kidogo,najiuliza waliopindisha ni kina nani?nchi mupindishe wenyewe kisha muinyoshe wenyewe itawezekana kweli? Yangu macho ila kumbukeni taabu na dhiki zinaongezeka kila uchao nyinyi mnakula bata. Tena zile million 10 mlizogawana km ni kweli mungu awapige mapigo alompiga firauni.Acheni kulindana naomba mseme nani aliipindisha?
 
Umetokea wapi babu? Shauri yako. Baba Jesica atakufuata hook hook. Mwacheni anyooshe nchi kwanza. CCM iliipindisha, na sasa anainyoosha CCM na watanzania kwa ujumla
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom