CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
Hili ni ombi kwa mheshimiwa raisi kiukweli si ombi la kupuuzwa nchi inaelekea sehem ambayo si salama kabisa kuna mambo mengi yanatokea mabaya zaidi tunayoyajua na tusiyoyajua huu ni wakati mgumu sana zaidi ya ufikiriavyo kwa taifa letu inabidi tumweke Mungu asimame kutuongoza kuvuta salama katika kipindi hiki hivyo naomba mheshimiwa raisi tangaza japo siku moja tu watanzania wote tufunge Na kuliombea taifa tena kwa kulithamini hilo wewe kama kiongozi ndo uwe wa mfano
Kweli ndugu zangu haya mambo yanayotokea hapa kuna kitu ambacho kinaendelea kisichoonekana kimwili lakini tukiungana kumwomba Mungu naamini atatuepusha Na mengi yanayokuja
Muhimu sana
Kwani anaposema tumuombee huwa anataka tumuombee kwa Mungu yupi?Mungu yupi
Leo umevuta ya wapi? Arusha au ya nyanda za juu kusini?Hili ni ombi kwa mheshimiwa raisi kiukweli si ombi la kupuuzwa nchi inaelekea sehem ambayo si salama kabisa kuna mambo mengi yanatokea mabaya zaidi tunayoyajua na tusiyoyajua huu ni wakati mgumu sana zaidi ya ufikiriavyo kwa taifa letu inabidi tumweke Mungu asimame kutuongoza kuvuta salama katika kipindi hiki hivyo naomba mheshimiwa raisi tangaza japo siku moja tu watanzania wote tufunge Na kuliombea taifa tena kwa kulithamini hilo wewe kama kiongozi ndo uwe wa mfano
Kweli ndugu zangu haya mambo yanayotokea hapa kuna kitu ambacho kinaendelea kisichoonekana kimwili lakini tukiungana kumwomba Mungu naamini atatuepusha Na mengi yanayokuja
Muhimu sana
Kwani anaposema tumuombee huwa anataka tumuombee kwa Mungu yupi?
Tujitolee lakini pia wapo humu ambao watapenda kuwa pamoja katika kuliombea taifa tuungane tuliombee taifa letu wanaopinga sijui ni raia wa wapiNi kweli kabisa mambo mengi yanakwenda ovyo. Sura nyingi za wenyenchi hazina siha.. Wakati mwingine nahisi CCM hawakushinda uchaguzi kihalali. Na ndo maana zanzibar wamewakea SERIKALI ya ku force. Ni majanga . Kweli lowasa angepita watu tungekuwa na furaha tu hata kama maisha yangekuwa magumu hivi.. Nirudi kwenye Maada iko haja ya kujitoa kuombea nchi.. Mkuu tuanze mimi na wewe tujitoe Kwa maslahi. Hata dua ZETU zinaweza zikawa na NGUVU
Mungu wa mbinguni mkuu,Kama kweli hukumjuaSijui, ndio maana nimeuliza.
Mkuu ni bora njaa ya siku moja kuliko majanga yanakuja kutokea eti kisa kuogopa njaawewe kichaa nini yaani na njaa hii unataka kuongeza njaa.Bwana yule tayar kawaomba malaika waje na wewe utatoka
swissme
Huwa anasema tumuombee kwa Mungu means anaye MunguLeo umevuta ya wapi? Arusha au ya nyanda za juu kusini?
Au hii imetoka Columbia??
Kwani umeambiwa jamaa ana Mungu?
Ishu sio wafanyakazi kufanya kazi kwa bidii hapa ishu ni kuwapoteza hao wafanyakazi sasa hayo maendeleo yatakujajesioni kama kuna haja ya maombi zaidi ya watu kufanya kazi kwa bidii.....pesa ndo inaleta maendeleo...maana kuna sehemu za ibada hali sio nzuri kwa kuwa hawana pesa lkn maombi wanaomba kama kawa.....anyway ungeweka namba naamin watakupigia ili wakuelezee vizur tunakoenda
simaanishi wafanyakazi tu...namaanisha wananchi wote kwa ujumla wenye nguvu na uwezo wa kufanya kazi...uwe mkulima...uwe kada yeyote ileIshu sio wafanyakazi kufanya kazi kwa bidii hapa ishu ni kuwapoteza hao wafanyakazi sasa hayo maendeleo yatakujaje
Utaelewa tu ana mwaka mmoja tuMnaodai hamzungushi mikono tuambieni tunaelekea wapi kiuchumi? Binafsi najaribu kumsoma sielewi hata taifa la viwanda hakuna hatua zozote za tofauti za kumjulisha mtu kwamba tunaelekea kwenye viwanda,tupotupo tu