Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tunaelekea kwa trump..... na MR. jpm
haha kweli ndugu.Ni suala la muda tu , lakini uzi huu waweza kuwa ni sehemu ya kufundishia vyuo hapo baadaye .
safari imebana sana..Ha ha ha haaaa suka hajaribiwi ole wako umlete deiwaka nawaza tu kwa sauti lol ila safari imekua ngumu kweli
Ndo maana analipeleka mtaroni sasaLabda dereva hajui alipeleke wapi.
hahaha ivi kaenda veta kweli?Tatizo Dereva alikuwa konda, kapewa usukani kama Zali, hakuwahi waza kama kuna siku atakuja kuwa Dereva miaka yote aliyokuwa konda, sasa gari toka lianze kuondoka Gia ni ile ile number 1, sio mlima, tambalale au mteremko. Utaalamu wa kubadili Gia hana, zaidi ya kukanyaga mafuta.
Mnavyo.... wewe unajitoa?Kwa jinsi mnavyoonesha kumchukia kwa kuwasababishia maisha Magumu na kuvuruga siasa za nchi yetu, kama kweli watu wa Tanga, Pemba, Sumbawanga na kwingineko wangekuwa na uchawi basi bila shaka wangeshamloga. Kumbe hakuna uchawi duniani.
Hakuna mwenye uwezo wa kumloga?
Kama wapo kwanini wasimpe dawa akapendwa na mapesa wakajaza hazina wadogo zetu wakapata Ajira na mikopo vyuoni?Huyo halogeki maana alishajipanga anawaganga wake toka kibondo