Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Na Wazee wa Chimwaga wangemkata kwny Kinyang'anyiro cha 2015 tungekuwa tunamlilia kukosa kwake Ufaza hausi.

Mi nampenda sana anavyoamini Kichwa chake zaid ya system ya Ufaza hausi!
 
Na Wazee wa Chimwaga wangemkata kwny Kinyang'anyiro cha 2015 tungekuwa tunamlilia kukosa kwake Ufaza hausi.

Mi nampenda sana anavyoamini Kichwa chake zaid ya system ya Ufaza hausi!
Tumekula hasara tena kubwa tu kumpa huo wadhifa.
 
Mbona hata waziri wake alisema anapenda utani sana kwa hiyo akatuomba tusifyatue watoto bila kufuata uzazi wa mpango
 
Waziri wake wa afya Alisema mkulu Anapenda sana utani hivyo mambo yake anayosema tusiyafuate.
 
Ipo siku kitaeleweka kizazi chetu tukiwa marehem au vizeee
 
Mnaodai hamzungushi mikono tuambieni tunaelekea wapi kiuchumi? Binafsi najaribu kumsoma sielewi hata taifa la viwanda hakuna hatua zozote za tofauti za kumjulisha mtu kwamba tunaelekea kwenye viwanda,tupotupo tu
Sasa kama wewe huelewi unafikiri ni tatizo la wote, uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo wako unaujua wewe mwenyewe.
 
Hata Zimbabwe walipofukuzwa wazungu wananchi walishangilia sana kwaiyo hata hapa kwetu usishangae mtu anaaribu uchumi waliokua kwenye ajira ya kulipwa mwisho wa mwezi wanashangilia mpk shirika lao lifukuze watu kaz ndo utaona wanalia na kusema watanzania tulie wakat ye alikua anasherekea marekani mtu mmoja akionewa jimbo zima linaamka walimsifu jk wakamponda jk na wanamsifu jk wanasema wapinzani wanaponda kila kitu wanajisaau wao kua wanasifia kila kitu kinachopondwa na upinzani leo wanamponda jk kisa upinzani wanasema bora jk ila wataelewa kwa vitendo badae wakifanya utani na uchumi jk alikua mjanja akipigiwa makelele na upinzani kimya kimya anatolea macho ilo swala
 
Hello

Nakumbuka mwaka jana mheshimiwa rais, alisitisha maadhimisho ya 9 Disemba kwa madhumuni ya kilichoitwa "kubana matumizi", kwamba bajeti ni kubwa. Jana wakati naangalia habari, walisema maandalizi yamekamilika na maadhimisho yatafanyika uwanja wa Uhuru.

1. Ni kwamba rais amesahau kwmb tunatakiwa tubane matumizi..??

2. Au ilikuwa ni nguvu ya soda..??

3. Au ameshauriwa kwmb "alichemka"..??

4. Au tumeshakusanya fedha za kutosha nw..?

5. Au ilikuw ni kutaka sifa na kukurupuka..??

Mimi sijui...!!!
 
Ndo unatambua leo kuwa ni usanii tu
 
Piga picha mashindano ya marathon kuna mjinga mmoja yuko front line mbio zilivoanza yeye bila kitumia akili na mipango katoka baruti[emoji125] utadhani anakimbia mbio za mita mia. Anaongoza mbio yupo mbele mita kama 6 kawapita wajuzi wa mashindano hayo.
Punde!
Akanza kama anavutwa shati vilee[emoji124][emoji36] [emoji36] kutamaki huyu[emoji83] akawa anapitwa kama kasimama vilee.[emoji36] [emoji36] [emoji29]
Kutamaki kaamua kukaa chini pumzi kwishney[emoji33] [emoji29] [emoji24] [emoji36]
Ndio navomuona huyuuu[emoji196] [emoji83]
 
Kwa hali ilivyo sasa hakuna nafasi ya mawazo kinzani katika uendeshaji wa Serikali ya JPM. Wazee aidha wanaogopa au wamesusa kukosoa. Chama chake amekibana. Maamuzi ya kuzuia live coverage ya Bunge, Kuzuiwa kwa mikutano Ya Nje Ya kisiasa, Matumizi Ya nguvu katika kupambana na wakosoaji. Sheria kandamizi dhidi Ya Vyombo vya habari.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom