Hii ni kumkumbusha Rais tunapofunga mwaka kuwa ametamani mnoooo kukimbia, lakini kwa maoni yangu he is only heading for a car crash...Rais huna huruma na watu wako, huna neno la kuwajaza raia wako matumaini zaidi ya kuwasweka magerezani, kuwasimanga na kuwaita majina mabaya, what do you expect Sir? Una nafasi ya kujitafakari, tunaelewa Urais "ulibip tu na simu ikajipokea", hukuwa na salio, ukajikuta unaongea na ulowapigia kwa wasiwasi....sasa basi tumekujazia salio, piga simu ukiwa umetulia, na piga bila shaka ya kuishiwa salio, zungumza kwa utulivu ueleweke, una nafasi ya kutenda vema 2017, nafasi bado unayo...Lakini so far umetaka kukimbia na huna breki, what dyu expect? tragic car crash, bila shaka!