Don san tan
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 566
- 439
UKAWA wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siyo mchumi, ni lay person, lakini kuna eti kitu kinaitwa "multiplier effect"................ simple concept to grasp anyway, consult your search engines.........................Habari zenu wakuu..!
Kuna swali nimejiuliza, ilikupata jibu sahihi, nimeona sio vibaya nikiwashirikisha na nyie pia.
Utawala uliopita hali ilikuwa ngumu sana kwa masikini wa nchi hii. Mfumo uliokuwepo, uliwaneemesha sana matajiri. Ila huu mfumo uliopo sasa, umewabana sana matajiri. Cha kushangaza hata masikini waliokuwa na hali mbaya awamu iliyopita nao wanalia, tena kwa wingi.
Sasa wasiwasi wangu ni juu ya hiki kilio cha "..anko Magu kabana.." wanacholia watu wa tabaka zote, ni kweli kinatuhusu sisi makabwela au tunaomboleza msiba wa mabwana wakubwa wetu?
Maana anasikia watu wakisema "habari ya tajiri muulize masikini, na habari ya masikini muulize masikini mwenyewe"
Hivi Nov tulikusanya ngapi mkuu?Tunakoelekea ni kazi tu.
Tulipoanzia ni kutumbua wafanyakazi hewa na kutengeneza afya bora kwa wafanyakazi wetu na Elimu bora .
Kwa sasa tuko na kazi ya kukusanya Kodi na kuweka taratibu sahihi wa matumizi sahihi ya Kodi .
Habari watanzania wenzangu najua wengi tunamaliza mwaka tukiwa hoi bin taaban kutokana na mbinyo wa kodi mbali mbali ambazo haziendani na kipato halisi cha mtanzania wa kawaida.biashara zimekua ngumu saana hata zile tunazo aminishwa za Eac. mipakani kodi zimekua kubwa watu wa nashindwa kusafir kifupi serekali imeshindwa kubani njia yyt mbadala zaid ya kuwakamua watanzania wa kipato cha chini Kati na juu.nikiwa mwanachama wa ccm japo sina card ya chama lakini nilipiga kura tatu ili kuunga mkono chama changu na kwa mtu mwenye ndoto zangu Mh john magufuli.naandika waraka huu nikiwa na machungu moyoni kwani ni mmoja wa wengi walio amua isiwe taabu kama ni ofic Acha nifunge nimeamua kurudisha kwa mwenyewe kwa sababu siko tayar kulipa ml9 kwa mwaka na biashara hakuna.hali ni zaidi ya ngumu huku uraian simaanishi au napingana na uendeshaji wa nchi wa muheshimiwa rais ila nalia na kodi nyingi ambazo hazina tija ila zaid ni komoa nikukomoe. Tuachane na hili tuje suala la tanesco na hili ongezeko la 18%jaman waibe wangine tulipe wengine Muheshimiwa rais wangu kama utalikalia kimya hili na kulibariki rasmi sinta kukubali tasmi tena na nitakaa pembeni na chama chako cha ccm
Mkuu tutatembeza ice cream woteTulishaambiwa na Mtangazaji wa Clouds tv Hassan Ngoma kuwa kama tunaona upatikanaji wa Hela / Pesa ni mgumu basi tuanze kutembeza Ice Cream katika Madeli na kuzunguka nayo mji mzima ili tupate ' mtonyo ' au Wewe hukumsikia Mkuu?
Wewe utakua sio mfanya biashara huenda ni mkulima subir mvuaUpo hoi peke yako. Mie nilishajizoelea kulipa kodi, ukwepaji kodi kwangu ulikuwa mwiko. Kutoa au kupokea rushwa kwangu ilikuwa mwiko. Hayo yamenifanya nisione huu ugumu mnaoulalamikia ninyi.
Umezoea kulipa kodi nakupongeza iloUpo hoi peke yako. Mie nilishajizoelea kulipa kodi, ukwepaji kodi kwangu ulikuwa mwiko. Kutoa au kupokea rushwa kwangu ilikuwa mwiko. Hayo yamenifanya nisione huu ugumu mnaoulalamikia ninyi.
Jiaminishe hivyo. Mlipokuwa mnaibia serikali mlijiona wajanja sana, halafu sisi tuliokuwa tunalipa kodi mlituona wajinga, mbaya zaidi hata baadhi ya wafanyakazi wa TRA walituona wanoko kwa kujifanya tunajua kufuata sheria. Sasa hivi mmebanwa mbavu halafu mnalazimisha eti kiwe kilio cha kila mfanyabiashara. Lipeni kodi, mkiona biashara imewashinda fungeni mkatafute kazi zingine mnazoweza.Wewe utakua sio mfanya biashara huenda ni mkulima subir mvua
Ni ngumu kuelewa ni ngumu sanaUpo hoi peke yako. Mie nilishajizoelea kulipa kodi, ukwepaji kodi kwangu ulikuwa mwiko. Kutoa au kupokea rushwa kwangu ilikuwa mwiko. Hayo yamenifanya nisione huu ugumu mnaoulalamikia ninyi.
Usilazimishe ukwepaji kodi wako ukadhani kila mtu alikuwa anafanya hivyo. Dawa ya kuwa salama ni kufuata sheria na siyo kuwa mjanja wa kukwepa sheria. Hata ukiamua kusema mimi siyo mfanyibiashara sawa, labda ndivyo unavyoona ni rahisi kwako kujipa matumaini. Ila ukweli ni kwamba biashara za ukwepaji kodi mwisho wake ndio huu mnalialia. Kama uliamua kukwepa kodi basi pia uwe tayari kubeba kadhia zake.Umezoea kulipa kodi nakupongeza ilo
Ila wewe sio mfanya biashara wa kununua na kuuza Bidhaa Kama mfanya biashara wewe ni bodaboda