Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe mwenye hii i.d ni yule katibu wa UGT?Malisa acha kulialia, inabidi ujifunze kuheshimu mawazo ya wenzio.
Kwa taarifa yako dhambi ya kubadili gia angani na kuuza chama kwa mafisadi itawatafuna milele na huu ni mwanzo tu.
Chadema ya Leo ni watetezi wa kila aina ya maovu ya nchi hii .
Kubenea anajaribu kuweka hadharani usanii wa viongozi wa chadema lakini wewe Malisa na bavicha mnajaribu kuficha!!!
Kumbuka hata ulipoenea uvumi kwamba lowasa ameuziwa chadema na atagombea urais, ulijitokeza kupinga sana habari hizo, lakini leo ndio muogeshaji na mbeba viatu mkuu wa lowasa!!!
Bado unatakiwa kuaminiwa tena na jamii???
Ana akili mbofu..hivi unajua shetani anajuaga yeye ni mungu?
Jifikirie vyema.Watafanya hicho unachofikiria ww endapo atatumia fedha kwa manufaa yake binafsi, usidhani anachukua pesa kienyeji bro, unajua sisi tunaopata viuzushi kwenye mitandao tunaona kama anafanya kosa, lakini sheria inamruhusu kufanya anavofanya bro. Na yote anayoyafanya ni kwa faida yetu sote ntakushangaa sana kulalamika kanakwamba hayo maendeleo yanafanyika Kenya au Uganda.
Superficially you might seem right. If you go deeper and beyond... utagundua kuwa haupo sahihihttp://Watafanya hicho unachofikiria ww endapo atatumia fedha kwa manufaa yake binafsi, usidhani anachukua pesa kienyeji bro, unajua sisi tunaopata viuzushi kwenye mitandao tunaona kama anafanya kosa, lakini sheria inamruhusu kufanya anavofanya bro. Na yote anayoyafanya ni kwa faida yetu sote ntakushangaa sana kulalamika kanakwamba hayo maendeleo yanafanyika Kenya au Uganda.
Naomba nikuulize swali moja mkuu! Kuna hata post moja unayo dhani umeandika na wewe ukiisoma unakubali kuwa hapa nimetumia akili? Please hebu zipitie kisha tuambie ni ipi kwani binafsi nimeanza kuhisi huwa tunajadiliana na mtu mwenye kuhitaji tiba ya afya ya akili.Malisa acha kulialia, inabidi ujifunze kuheshimu mawazo ya wenzio.
Kwa taarifa yako dhambi ya kubadili gia angani na kuuza chama kwa mafisadi itawatafuna milele na huu ni mwanzo tu.
Chadema ya Leo ni watetezi wa kila aina ya maovu ya nchi hii .
Kubenea anajaribu kuweka hadharani usanii wa viongozi wa chadema lakini wewe Malisa na bavicha mnajaribu kuficha!!!
Kumbuka hata ulipoenea uvumi kwamba lowasa ameuziwa chadema na atagombea urais, ulijitokeza kupinga sana habari hizo, lakini leo ndio muogeshaji na mbeba viatu mkuu wa lowasa!!!
Bado unatakiwa kuaminiwa tena na jamii???
Nakubaliana na hoja yako asilimia zote mkuu.Huu utumbuaji wa maigizo tumeichoka sasa. Kama kila anayefanya kosa anatumbuliwa basi ni muda muafaka JPM ajitumbue mwenyewe kama sii kujiuzulu. Yeye ndye kaleta hii zana ya one mistake go home. Hata yeye pia kafanya blandaz nyingi kuanzia sakata la sukari. Na yeye ajitazame kwa jicho la tatu Kama ni mzalendo wa kweli.
Ni wazi kuwa serikali imemshinda. kama wizara zilizo chini yake zinafanya mambo makubwa na mazito bila kumuhusisha yeye mpaka mchakato unaisha. Inabidi na yeye ajiulize ni kwa nini? ( in condition kama haya sio maigizo)
Chattle.Watafanya hicho unachofikiria ww endapo atatumia fedha kwa manufaa yake binafsi, usidhani anachukua pesa kienyeji bro, unajua sisi tunaopata viuzushi kwenye mitandao tunaona kama anafanya kosa, lakini sheria inamruhusu kufanya anavofanya bro. Na yote anayoyafanya ni kwa faida yetu sote ntakushangaa sana kulalamika kanakwamba hayo maendeleo yanafanyika Kenya au Uganda.
2020 ikatae ccm kabisa.
Dai tume huru ya uchaguzi ewe mtanzania.