Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
mlimchagua wenyewe tena kwa vigeregere uzuri namba tunaisoma wote hapo haina shida
 
Watanzania tuna akili fupi sana ndo maana hatusonge mbele kama taifa na mtu mmoja mmoja, maada ni nzuri inawweza kutusaidia kuibua njia mpya za kumsaidia rais kama ushauri, mtoa mada hana nia mbaya na rais bali anajaribu kutushirikisha tuangalie mwelekeo wa sisi kama taifa, kwa hiyo tuache kumkebehi tuchangie mada kwa mtazamo chanya kwa kutoa michango na ushauri wa kujenga taifa.

Ndio tatizo kubwa la members wa JF, tulianza kwa kuwa na GTs sasa wengi wamekuwa kama Zombies tu khe khe khe khe ....... natumaini wengi wameona hiyo series.
 
Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!

Mkuu naona unaua mende kwa nyundo safi sana.
 
Wakuu Heshima mbele.
Samahani sana Mhe. Rais nakuomba ukiwa unakwenda kwenye ibada Kanisani, usiwe unatoa tamko lolote la kiutawala wala usilete siasa Makanisani ni hatari kwa Taifa changa kama hili.

Na pia naomba viongozi wa dini mkome hii tabia ya kumpatia Rais nafasi ya kuonge kwa waamini wenu. Hii ni kwa sababu.

1. Makanisa ama Misikiti itageuka kuwa ni nyumba za Siasa badala ya kuwa ni nyumba za kuambudia.

2. Lakini pia, Mbona hatumuoni Makamo wa Rais ama Waziri Mkuu na Mawaziri wakitoa Matamko Kanisani na Misikitini? Ama wao hawaswali?

3.Toka kwa Rais wa awamu ya Kwanza Mwl. JK Nyerere hakuwahi kutoa Tamko lolote ndani ya Kanisa.
Lakini pia Mzee Ruksa hakuwahi toa tamko ndani ya msikiti.

4.Kisha tukawa na Mzee Mkapa na Mhe. JK wote hawa walikuwa hawatoe matamko Misikitini na Makanisani ila kama kuna kongamano la kidini.

NINI ATHARI ZA SIASA SEHEMU ZA KUABUDIA.
1. Utaleta mpasuko mkubwa kwa Jamii, hasa kwa waumini wao kwa wao na waumini vs viongozi wa dini. Achana nazo.

2. Utafanya sasa kila Waziri, Mbunge, RC, DC, Diwani na Mwenyekiti wa Mtaa kuanza kasumba hii ya kuomba maiki mbele ya kanisa ama Msikiti.

3. Sipati picha tukifika huko na iwe ni kipindi cha Kampeni. Kwa maana kuna waumini watatu na wote ni wagombea, misikiti na makanisa sijui itakuwaje hapo.

Tafadhali sana acha kupeleka siasa kwenye sehemu takatifu za kuabubia. Una Majukwaa mengi sana hii liheshimu ka ulivyokuta watangulizi wako.

Natambua mcha Mungu sana ila kuwa unapewa nafasi ya kusema chochote iache, piga ibada kisa toka zako na Mungu atakubariki tu.
Wabeja.

Wasalaam
Ntobi.
 
Hasa Maaskofu, mtaitumbukiza nchi kwenye mpasuko mkubwa. Mtukufu anakejeli watu Kanisani ambao wanatafuta faraja, kanisani. Mtukufu anawafuata huko huko kuwakejeli. Maaskofu nao wanashangilia. Kanisa Katoliki mna sifa ya kufanya maangamizi. Jitafakari tena. Kilaini, Lwoma, Pengo and many others jitafakari.
 
Sidhani kama atakuelewa maana yeye atakwambia, "mimi ndio 'laisi' wa nchi"

Ila nahisi viongoz wa madhehebu hasa katoliki "wanamhanya" jamaa
 
Naona ujumbe umerudiwa tena, huu uzi uunganishwe kule.... Maoni yangu ni kuwa Rais yuko sawa tu.
 
Tatizo hapa nikua na kiongozi mpenda sifa, hua anaongea bila kujali yupo Mahali gani na anaongea na watu wa aina gani. Nadhan hua hapang cha kuongea, linalomjia ndio hilohilo analotoa... Ukisikiliza maneno aliyowaambia watumishi wa mahakama, watumishi wa magereza, aliowaambia wanasiasa akijitoa yeye mwenyewe, na yale aliyowaambia wahanga wa tetemeko, utafahamu huyu nikiongoz wa aina gani!!kupewa nafasi kanisan ni ishara ya kutambua na kuheshimu uwepo wa mamlaka uliyonayo, inatosha kutoa salam nakusisitiza watu kumcha mungu!! Lakini kwakua haelewi nn alipashwa kuzungumza nn alijiona yupo jukwaa la kampen akaanza kuchafua hewa!! Yaan kila anapoenda fujo....Jaribun kumkumbusha kwamba akienda Roma afanye wanayofanya waroma.... ya usukuman ayaache hukohukoo...!!
 
Wakuu Heshima mbele.
Samahani sana Mhe. Rais nakuomba ukiwa unakwenda kwenye ibada Kanisani, usiwe unatoa tamko lolote la kiutawala wala usilete siasa Makanisani ni hatari kwa Taifa changa kama hili.

Na pia naomba viongozi wa dini mkome hii tabia ya kumpatia Rais nafasi ya kuonge kwa waamini wenu. Hii ni kwa sababu.

1. Makanisa ama Misikiti itageuka kuwa ni nyumba za Siasa badala ya kuwa ni nyumba za kuambudia.

2. Lakini pia, Mbona hatumuoni Makamo wa Rais ama Waziri Mkuu na Mawaziri wakitoa Matamko Kanisani na Misikitini? Ama wao hawaswali?

3.Toka kwa Rais wa awamu ya Kwanza Mwl. JK Nyerere hakuwahi kutoa Tamko lolote ndani ya Kanisa.
Lakini pia Mzee Ruksa hakuwahi toa tamko ndani ya msikiti.

4.Kisha tukawa na Mzee Mkapa na Mhe. JK wote hawa walikuwa hawatoe matamko Misikitini na Makanisani ila kama kuna kongamano la kidini.

NINI ATHARI ZA SIASA SEHEMU ZA KUABUDIA.
1. Utaleta mpasuko mkubwa kwa Jamii, hasa kwa waumini wao kwa wao na waumini vs viongozi wa dini. Achana nazo.

2. Utafanya sasa kila Waziri, Mbunge, RC, DC, Diwani na Mwenyekiti wa Mtaa kuanza kasumba hii ya kuomba maiki mbele ya kanisa ama Msikiti.

3. Sipati picha tukifika huko na iwe ni kipindi cha Kampeni. Kwa maana kuna waumini watatu na wote ni wagombea, misikiti na makanisa sijui itakuwaje hapo.

Tafadhali sana acha kupeleka siasa kwenye sehemu takatifu za kuabubia. Una Majukwaa mengi sana hii liheshimu ka ulivyokuta watangulizi wako.

Natambua mcha Mungu sana ila kuwa unapewa nafasi ya kusema chochote iache, piga ibada kisa toka zako na Mungu atakubariki tu.
Wabeja.

Wasalaam
Ntobi.
hahaha hakuna raisi wanliivuruga hii nchi km jpm.... wala hatawahi kutokea
 
Tatizo hapa nikua na kiongozi mpenda sifa, hua anaongea bila kujali yupo Mahali gani na anaongea na watu wa aina gani. Nadhan hua hapang cha kuongea, linalomjia ndio hilohilo analotoa... Ukisikiliza maneno aliyowaambia watumishi wa mahakama, watumishi wa magereza, aliowaambia wanasiasa akijitoa yeye mwenyewe, na yale aliyowaambia wahanga wa tetemeko, utafahamu huyu nikiongoz wa aina gani!!kupewa nafasi kanisan ni ishara ya kutambua na kuheshimu uwepo wa mamlaka uliyonayo, inatosha kutoa salam nakusisitiza watu kumcha mungu!! Lakini kwakua haelewi nn alipashwa kuzungumza nn alijiona yupo jukwaa la kampen akaanza kuchafua hewa!! Yaan kila anapoenda fujo....Jaribun kumkumbusha kwamba akienda Roma afanye wanayofanya waroma.... ya usukuman ayaache hukohukoo...!!
ni kwavile watanzania wapole nji nyingine wanakupopoa mawe

kanisani si mahali pa kutumbulia watu wala kuhutubia angeenda bungeni ama claus
 
WEWE mleta maada ebu tumia UBONGO kufikiri wapi umesikia RAIS anatamka CCM kanisani????PALE HUWA ANATOA MATAMKO YA SERIKALI na si YA KISIASA YANAYOHUSISHA VYAMA hiyo KAMKANYE LOWASSA.........
 
Tangu aingie biashara nyingi zimefungwa,watu hawana pesa, mahoteli yamefungwa au kubadilishwa kuwa makazi
Tangu aingie ajira zimefutika,
Tangu ameingia watu wanabomolewa tu makazi yao,
Tangu ameingia maisha yamekuwa ya shida sana,
Tangu ameingia wizi na ajali zimeongezeka sana pamoja na matumizi ya madawa ya kulevya,
Tangu ameingia wafanyakazi hawajapandishwa madaraja wala kulipwa stahiki zao,
Tangu ameingia maisha watu ni hofu mtindo mmoja
Tangu aingie barabara na madaraja hayajengwi tena
Tangu aingie hakuna maabara wala mashule yanayojengwa tena
Tangu aingie ni matetemeko na ukame tu katika nchi
Tangu aingie mapambano ya wafugaji na wakulima
ILE NEEMA NA BARAKA KATIKA NCHI ILIYOKUWEPO IMETOWEKA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom