Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Tangu aingie biashara nyingi zimefungwa,watu hawana pesa, mahoteli yamefungwa au kubadilishwa kuwa makazi
Tangu aingie ajira zimefutika,
Tangu ameingia watu wanabomolewa tu makazi yao,
Tangu ameingia maisha yamekuwa ya shida sana,
Tangu ameingia wizi na ajali zimeongezeka sana pamoja na matumizi ya madawa ya kulevya,
Tangu ameingia wafanyakazi hawajapandishwa madaraja wala kulipwa stahiki zao,
Tangu ameingia maisha watu ni hofu mtindo mmoja
Tangu aingie barabara na madaraja hayajengwi tena
Tangu aingie hakuna maabara wala mashule yanayojengwa tena
Tangu aingie ni matetemeko na ukame tu katika nchi
Tangu aingie mapambano ya wafugaji na wakulima
ILE NEEMA NA BARAKA KATIKA NCHI ILIYOKUWEPO IMETOWEKA
Waliozowea vya kunyongwa vya kuchinja hawawezi
 
Mnaodai hamzungushi mikono tuambieni tunaelekea wapi kiuchumi? Binafsi najaribu kumsoma sielewi hata taifa la viwanda hakuna hatua zozote za tofauti za kumjulisha mtu kwamba tunaelekea kwenye viwanda,tupotupo tu

Tunaelekea na tumeshaanza kufanikiwa kuelekea kwenye nchi ambayo inauchukia UFISADI kwa vitendo.

Tunaelekea na tumeshaanza kufanikiwa kuona kuwa watanzania wanakula kwa jasho lao na si kupiga madili ya kuumiza wenzao.

Tunaelekea na tumeshaanza kufanikiwa kuelekea kwenye nchi ambayo kunakuwa na nidhamu ya kazi bila mambo ya njoo kesho-njoo kesho.

Tunaelekea na tumeshaanza kufanikiwa kuelekea katika nchi ambayo hata wenye pesa hawawezi kuwa na nguvu ya kuwanyanyasa wasio na pesa kama yule jamaa wa HSC ambaye kwa jeuri ya pesa na kufahamiana na mkuu aliweza kufanya mambo ya ajabu kwa jeuri yake ya pesa na kujuana na Mkuu.

Tunaelekea na tumeshaanza kufanikiwa kuondoa matumizi ya kijinga ya pesa za serikali na kuanza kutumia katika mambo muhimu kama kujenga barabara ya Morroco nk.

Tunaelekea na tumeshaanza kufanikiwa katika kuwaumbua watu waliozoea kuishi kwa madili na sasa wanaonekana wakihangaika kwenye vyombo vya habari na mitandaoni kukashifu juhudi za Rais wetu DR JPM kwa kudai eti Nchi ilikuwa inajua inakoelekea chini ya Mzee wa kutabasamu.

Madhaifu ya Rais yapo, lakini he is far better kuliko alternatives tulizopewa kwenye uchaguzi mwaka jana.
NANI ANGEFANYA BETTER than HIM? Yule jamaa aliyeibadilisha CHADEMA kuwa TOI?
 
Tangu aingie biashara nyingi zimefungwa,watu hawana pesa, mahoteli yamefungwa au kubadilishwa kuwa makazi
Tangu aingie ajira zimefutika,
Tangu aingie idadi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaopata mikopo imeshuka mno! maelfu ya wanafunzi waliochaguliwa vyuoni wamashindwa kuripoti kwa kukosa ufadhili
Tangu ameingia watu wanabomolewa tu makazi yao,
Tangu ameingia hata shughuli za kisiasa nazo zimepigwa marufuku,
Tangu ameingia maisha yamekuwa ya shida sana,wengi wanakula mlo mmoja kwa siku
Tangu ameingia bunge live limezimwa, ile furaha ya wananchi kufuatlia kinachoendelea bungeni imetoweka
Tangu ameingia wizi na ajali zimeongezeka sana pamoja na matumizi ya madawa ya kulevya,
Tangu ameingia wafanyakazi hawajapandishwa madaraja wala kulipwa stahiki zao,
Tangu ameingia maisha watu ni hofu mtindo mmoja
Tangu aingie barabara na madaraja hayajengwi tena
Tangu aingie hakuna maabara wala mashule yanayojengwa tena
Tangu aingie ni matetemeko na ukame tu katika nchi
Tangu aingie mapambano ya wafugaji na wakulima
KWA UFUPI ILE NEEMA NA BARAKA KATIKA NCHI ILIYOKUWEPO IMETOWEKA
 
aise we unaongea nini vile.
kuna watu wanakula msosi wa lunch tu sawa na mshahara alipwao mlinzi ktk kampuni ya security.
mtu anapiga pombe ya gharama sawa na mshahara wa mfanyakazi wa hoteli.
au labda ni mimi sipo Tanzania ?
watu wanatumbua pesa kama vichaa.
nchi hii hii,tusokuwa na pesa tunajulikana,wenye nazo wanajulikana.
kama ni jipu limetumbuliwa acha lipasuke.
kama walizoea vya kunyonga acha waisome namba.
lakin bado,bado kabisaaaaa kama ni jipu basi hivi ni vipele vya baridi tu ndo vinashughulikiwa.
MAGU eeeeeeee,tumbua tu kwani hakuna njia.
pesa tutapambana nayo kuipata ila wale walozoea vya kunyonga tunataka wawe sawa na sisi.
[HASHTAG]#hapa[/HASHTAG] kutumbua tu ,watumia pesa wanaendelea kuzitumia ila siku wakikosa hulalama .
 
aise we unaongea nini vile.
kuna watu wanakula msosi wa lunch tu sawa na mshahara alipwao mlinzi ktk kampuni ya security.
mtu anapiga pombe ya gharama sawa na mshahara wa mfanyakazi wa hoteli.
au labda ni mimi sipo Tanzania ?
watu wanatumbua pesa kama vichaa.
nchi hii hii,tusokuwa na pesa tunajulikana,wenye nazo wanajulikana.
kama ni jipu limetumbuliwa acha lipasuke.
kama walizoea vya kunyonga acha waisome namba.
lakin bado,bado kabisaaaaa kama ni jipu basi hivi ni vipele vya baridi tu ndo vinashughulikiwa.
MAGU eeeeeeee,tumbua tu kwani hakuna njia.
pesa tutapambana nayo kuipata ila wale walozoea vya kunyonga tunataka wawe sawa na sisi.
[HASHTAG]#hapa[/HASHTAG] kutumbua tu ,watumia pesa wanaendelea kuzitumia ila siku wakikosa hulalama .
 
Tangu aingie biashara nyingi zimefungwa,watu hawana pesa, mahoteli yamefungwa au kubadilishwa kuwa makazi
Tangu aingie ajira zimefutika,
Tangu ameingia watu wanabomolewa tu makazi yao,
Tangu ameingia maisha yamekuwa ya shida sana,
Tangu ameingia wizi na ajali zimeongezeka sana pamoja na matumizi ya madawa ya kulevya,
Tangu ameingia wafanyakazi hawajapandishwa madaraja wala kulipwa stahiki zao,
Tangu ameingia maisha watu ni hofu mtindo mmoja
Tangu aingie barabara na madaraja hayajengwi tena
Tangu aingie hakuna maabara wala mashule yanayojengwa tena
Tangu aingie ni matetemeko na ukame tu katika nchi
Tangu aingie mapambano ya wafugaji na wakulima
ILE NEEMA NA BARAKA KATIKA NCHI ILIYOKUWEPO IMETOWEKA
[emoji23] [emoji23] kamlija kako kamezibwa

Mm ninafuhia sana huu utawala kwa sababu umeleta usawa kwa watu wote.
 
Ndio mkome.....MLIZOEA VYA BURE SANA....FANYENI KAZI ILI ULE JASHO LAKO...HUU NDIO UTAWALA TULIOKUWA TUNA ULILIA....
 
Tangu aingie biashara nyingi zimefungwa,watu hawana pesa, mahoteli yamefungwa au kubadilishwa kuwa makazi
Tangu aingie ajira zimefutika,
Tangu ameingia watu wanabomolewa tu makazi yao,
Tangu ameingia maisha yamekuwa ya shida sana,
Tangu ameingia wizi na ajali zimeongezeka sana pamoja na matumizi ya madawa ya kulevya,
Tangu ameingia wafanyakazi hawajapandishwa madaraja wala kulipwa stahiki zao,
Tangu ameingia maisha watu ni hofu mtindo mmoja
Tangu aingie barabara na madaraja hayajengwi tena
Tangu aingie hakuna maabara wala mashule yanayojengwa tena
Tangu aingie ni matetemeko na ukame tu katika nchi
Tangu aingie mapambano ya wafugaji na wakulima
ILE NEEMA NA BARAKA KATIKA NCHI ILIYOKUWEPO IMETOWEKA
vumilia tu yana mwisho
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom