Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Teh teh teh. Anapenda magufuli akosolewe lakini mbowe asikosolewe,
Wanatuambia wanabana matumizi kutokurusha Bunge live, Television binafsi zikasema zitarusha kwa gharama zao wakazuia, Wafadhili wakajitokeza wanakataa, Cha ajabu Ziara Ya Mkuu wa Mkoa inapata live coverage
 
Nchi haiendeshwi tena kwa mfumo wa power seperation ya mihimili 3 ya Executive, Judiciary na Legislature na badala yake yule Bwana ndiyo amekuwa EACH and EVERYTHING kwa mfumo wa ONE MAN SHOW.........

Hata Katiba imewekwa pembeni katika kile Mkulu anachokiita kuwa priority no 1 kwake ni kuinyoosha nchi.........

Ikitokea yeyote ataamua kujipa ujasiri kwa kutofautiana naye kimawazo, kinachofuata ni kutumbuliwa, kama yaliyomkuta yule Msajili wa Hazina!
 
Anakimbiza farasi peke yake hawezi kujua kachelewa kwa kiasi gani.
 
kiukweli kwa hoja za kutetea maskini na kuangalia wanyonge magufuli amedrop sana.

bila unafiki jiulize

mikopo vyuo vikuu imeshughulikiwa kama alivosema?

milioni 50 kila kijiji umeziona?

mama ntilie wameheshimiwa?

machinga wameheshimiwa?

bodaboda wamesikilizwa?

wahanga mbalimbali wa natural dister wamehudumiwa?

maisha mtaani yamekuwa poa?

biashara kitaa zimekua?

wazanzibari wanafuraha na situation ilivo?

media zina furaha?

mitandao na sheria zake mnafurahia?

bunge recorded mnachekelea?

matumizi ya fedha zetu bila bunge kubajeti unaona sawa?

aash ninayo mengi.

jiulize mtanange 2020, kiukweli msishangae yahya jammie mwengine
 
Kila mtu anayajua hayo ila tumejikalia kimya tu mjomba kwa sababu maalum.
 
kiukweli kwa hoja za kutetea maskini na kuangalia wanyonge magufuli amedrop sana.

bila unafiki jiulize

mikopo vyuo vikuu imeshughulikiwa kama alivosema?

milioni 50 kila kijiji umeziona?

mama ntilie wameheshimiwa?

machinga wameheshimiwa?

bodaboda wamesikilizwa?

wahanga mbalimbali wa natural dister wamehudumiwa?

maisha mtaani yamekuwa poa?

biashara kitaa zimekua?

wazanzibari wanafuraha na situation ilivo?

media zina furaha?

mitandao na sheria zake mnafurahia?

bunge recorded mnachekelea?

matumizi ya fedha zetu bila bunge kubajeti unaona sawa?

aash ninayo mengi.

jiulize mtanange 2020, kiukweli msishangae yahya jammie mwengine
Confusion nyingine bwana, hazina kichwa wala miguu !
 
Ndio kazi mliyobakiza hapo ufipa, kuosha mafisadi
Mbowe aliwaingiza mkenge

Na bado mtanyooka tu
 
2020 inaweza kuwa kabakia Lowasa peke yake, maana kwa namna wenye ushawishi WANAVYOMINYWA NA KUPOTEZWA sidhani kama kuna atakayebakia.

kiukweli kwa hoja za kutetea maskini na kuangalia wanyonge magufuli amedrop sana.

bila unafiki jiulize

mikopo vyuo vikuu imeshughulikiwa kama alivosema?

milioni 50 kila kijiji umeziona?

mama ntilie wameheshimiwa?

machinga wameheshimiwa?

bodaboda wamesikilizwa?

wahanga mbalimbali wa natural dister wamehudumiwa?

maisha mtaani yamekuwa poa?

biashara kitaa zimekua?

wazanzibari wanafuraha na situation ilivo?

media zina furaha?

mitandao na sheria zake mnafurahia?

bunge recorded mnachekelea?

matumizi ya fedha zetu bila bunge kubajeti unaona sawa?

aash ninayo mengi.

jiulize mtanange 2020, kiukweli msishangae yahya jammie mwengine
 
kiukweli kwa hoja za kutetea maskini na kuangalia wanyonge magufuli amedrop sana.

bila unafiki jiulize

mikopo vyuo vikuu imeshughulikiwa kama alivosema?

milioni 50 kila kijiji umeziona?

mama ntilie wameheshimiwa?

machinga wameheshimiwa?

bodaboda wamesikilizwa?

wahanga mbalimbali wa natural dister wamehudumiwa?

maisha mtaani yamekuwa poa?

biashara kitaa zimekua?

wazanzibari wanafuraha na situation ilivo?

media zina furaha?

mitandao na sheria zake mnafurahia?

bunge recorded mnachekelea?

matumizi ya fedha zetu bila bunge kubajeti unaona sawa?

aash ninayo mengi.

jiulize mtanange 2020, kiukweli msishangae yahya jammie mwengine
Lowasa ndio nani?
Anashuguli gani?
Ana mchango gani katika jamii?
 
Lowaaasaa hana jipya ameamua kutumia fedha zake kujiridhisha ndani ya moyo wake kuwa yeye ni rais wa tanzania na kuwa bdo anapendwa. Tunasubiria fedha za msaada uchaguzi utakapokaribia 2020 lakini najua wale wafadhili wake wataingia mitini wameshajua ni WHITE ELEPHANT PROJECT.
 
Ndio kazi mliyobakiza hapo ufipa, kuosha mafisadi
Mbowe aliwaingiza mkenge

Na bado mtanyooka tu
Ukweli mliyemchagua kwa wizi wa kura ndiye fisadi namba one. Uliza ameiba wapi nitakupa mifano 100. Hawezi kuruhusu katiba ifanye kazi kwa sababu anajijua watamsema hadi akimbie hapo magogoni!! amebakia kupandisha povu tu hana lolote!! Nimeona miili iliyokataliwa na mamba kule ruvu!! hayo tutayajua baadaye! subiri!! leave Lowasa alone you criminals
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom