Tumekula hasara tena kubwa tu kumpa huo wadhifa.Na Wazee wa Chimwaga wangemkata kwny Kinyang'anyiro cha 2015 tungekuwa tunamlilia kukosa kwake Ufaza hausi.
Mi nampenda sana anavyoamini Kichwa chake zaid ya system ya Ufaza hausi!
Tumekula hasara tena kubwa tu kumpa huo wadhifa.
Ndio maana anaomba mumuombee labda muujiza utambadiliTumekula hasara tena kubwa tu kumpa huo wadhifa.
Sasa kama wewe huelewi unafikiri ni tatizo la wote, uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo wako unaujua wewe mwenyewe.Mnaodai hamzungushi mikono tuambieni tunaelekea wapi kiuchumi? Binafsi najaribu kumsoma sielewi hata taifa la viwanda hakuna hatua zozote za tofauti za kumjulisha mtu kwamba tunaelekea kwenye viwanda,tupotupo tu
Aisee nakufuatiliaga Sana mada zako jombaa, yani wewe Ni mkereketwa halisi, Big upTumekula hasara tena kubwa tu kumpa huo wadhifa.
Hello
Nakumbuka mwaka jana mheshimiwa rais, alisitisha maadhimisho ya 9 Disemba kwa madhumuni ya kilichoitwa "kubana matumizi", kwamba bajeti ni kubwa. Jana wakati naangalia habari, walisema maandalizi yamekamilika na maadhimisho yatafanyika uwanja wa Uhuru.
1. Ni kwamba rais amesahau kwmb tunatakiwa tubane matumizi..??
2. Au ilikuwa ni nguvu ya soda..??
3. Au ameshauriwa kwmb "alichemka"..??
4. Au tumeshakusanya fedha za kutosha nw..?
5. Au ilikuw ni kutaka sifa na kukurupuka..??
Mimi sijui...!!!
mabadiliko zungushaaaa
Jibu hoja wewemabadiliko zungushaaaa
Piga picha mashindano ya marathon kuna mjinga mmoja yuko front line mbio zilivoanza yeye bila kitumia akili na mipango katoka baruti[emoji125] utadhani anakimbia mbio za mita mia. Anaongoza mbio yupo mbele mita kama 6 kawapita wajuzi wa mashindano hayo.Hello