Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Habari wakuu,
Chief wetu tangu apewe madaraka sijawahi kumwelewa anaongea mambo ya ajabu ajabu hana jambo jema la kujenga yote kwake ni kubomoa tu, hanaga maandalizi cha kuongea na kutoongea, hapo nyuma viongozi wenzake waliandaliwa hotuba, walijiaanda nini cha kusema hata kama ni nje ya hutuba lakini kinafata misingi ya uongozi, ila kuna kitu nimependa kutoka kwake, tangu na tangu anahubiri kubana matumizi kwa mambo ambayo sio ya msingi na nimeona sehemu nyingi anawaambia hata watumishi wake kubana matumizi..
Huu utaratibu ni mzuri kwangu, kwakua sipati chochote kutoka kwake hata nikimsikiliaza mpaka mwisho. Hivyo basi nachofanya kwa sasa akianza kuongea tu nazima TV, naswitch off kabisa nachomoa cable zote naweka pembeni, nafanya hivyo kubana matumizi hizo unit nitakazotumia kumsikiliza bora nibane kwa wakati huo ili kwa baadae nizitumia kuangalia katuni..
Nawashauri wenzangu mfanye kama mimi tubane matumizi vizuri..
[HASHTAG]#Mohagachi[/HASHTAG]
Hii imenipendeza
Mwafa [emoji1] [emoji1]then what???
Kwani yeye alipotuzimia Tbc tusiangalie bunge Live anahisi sisi tunajisikiajeImagine ingekuwa wewe unafanyiwa vile ungejisikiaje mkuu!
hahhhhhh kwakweliiii dunia ina mambo aseeehHabari wakuu,
Chief wetu tangu apewe madaraka sijawahi kumwelewa anaongea mambo ya ajabu ajabu hana jambo jema la kujenga yote kwake ni kubomoa tu, hanaga maandalizi cha kuongea na kutoongea, hapo nyuma viongozi wenzake waliandaliwa hotuba, walijiaanda nini cha kusema hata kama ni nje ya hutuba lakini kinafata misingi ya uongozi, ila kuna kitu nimependa kutoka kwake, tangu na tangu anahubiri kubana matumizi kwa mambo ambayo sio ya msingi na nimeona sehemu nyingi anawaambia hata watumishi wake kubana matumizi..
Huu utaratibu ni mzuri kwangu, kwakua sipati chochote kutoka kwake hata nikimsikiliaza mpaka mwisho. Hivyo basi nachofanya kwa sasa akianza kuongea tu nazima TV, naswitch off kabisa nachomoa cable zote naweka pembeni, nafanya hivyo kubana matumizi hizo unit nitakazotumia kumsikiliza bora nibane kwa wakati huo ili kwa baadae nizitumia kuangalia katuni..
Nawashauri wenzangu mfanye kama mimi tubane matumizi vizuri..
[HASHTAG]#Mohagachi[/HASHTAG]
Hii imenipendeza
hii nayo inamsingi wakeKwani yeye alipotuzimia Tbc tusiangalie bunge Live anahisi sisi tunajisikiaje
Ili kutouza Tv nitaachana na local channels nahamia BBC or CNN tu kule najua hata kusema "this is my phone hawezi "[emoji1]Ana mwenzake huyo, kila ukifungua clouds tv huyu hapa, ukifungua tbc huyu hapa, Channel 10 huyu hapa,na huko kote ni kwa wakati mmoja hadi hua nashangaa.
Suluhisho ni kuuza hiyo tv tu basi.
Wewe ni mtu mzima wa miaka tu, vingine bureee kabisa maana huu uzi sio wa kuandikwa na wenye akili, alafu mtu mzima mwingine mwenye akili ana 'like' kabisa hii rubbisha, duh!Habari wakuu,
Chief wetu tangu apewe madaraka sijawahi kumwelewa anaongea mambo ya ajabu ajabu hana jambo jema la kujenga yote kwake ni kubomoa tu, hanaga maandalizi cha kuongea na kutoongea, hapo nyuma viongozi wenzake waliandaliwa hotuba, walijiaanda nini cha kusema hata kama ni nje ya hutuba lakini kinafata misingi ya uongozi, ila kuna kitu nimependa kutoka kwake, tangu na tangu anahubiri kubana matumizi kwa mambo ambayo sio ya msingi na nimeona sehemu nyingi anawaambia hata watumishi wake kubana matumizi..
Huu utaratibu ni mzuri kwangu, kwakua sipati chochote kutoka kwake hata nikimsikiliaza mpaka mwisho. Hivyo basi nachofanya kwa sasa akianza kuongea tu nazima TV, naswitch off kabisa nachomoa cable zote naweka pembeni, nafanya hivyo kubana matumizi hizo unit nitakazotumia kumsikiliza bora nibane kwa wakati huo ili kwa baadae nizitumia kuangalia katuni..
Nawashauri wenzangu mfanye kama mimi tubane matumizi vizuri..
[HASHTAG]#Mohagachi[/HASHTAG]
Hii imenipendeza
Wakikata kama hujalipa ndo chaneli pekee inayobaki, jamaa awe mkweli tu kafungishwa mkanda bila hiari yake.Kumbe unachanel moja tu,TBC