Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Imagine ingekuwa wewe unafanyiwa vile ungejisikiaje mkuu!
 
Habari wakuu,

Chief wetu tangu apewe madaraka sijawahi kumwelewa anaongea mambo ya ajabu ajabu hana jambo jema la kujenga yote kwake ni kubomoa tu, hanaga maandalizi cha kuongea na kutoongea, hapo nyuma viongozi wenzake waliandaliwa hotuba, walijiaanda nini cha kusema hata kama ni nje ya hutuba lakini kinafata misingi ya uongozi, ila kuna kitu nimependa kutoka kwake, tangu na tangu anahubiri kubana matumizi kwa mambo ambayo sio ya msingi na nimeona sehemu nyingi anawaambia hata watumishi wake kubana matumizi..

Huu utaratibu ni mzuri kwangu, kwakua sipati chochote kutoka kwake hata nikimsikiliaza mpaka mwisho. Hivyo basi nachofanya kwa sasa akianza kuongea tu nazima TV, naswitch off kabisa nachomoa cable zote naweka pembeni, nafanya hivyo kubana matumizi hizo unit nitakazotumia kumsikiliza bora nibane kwa wakati huo ili kwa baadae nizitumia kuangalia katuni..

Nawashauri wenzangu mfanye kama mimi tubane matumizi vizuri..

[HASHTAG]#Mohagachi[/HASHTAG]
Hii imenipendeza

Tcra wanakuona kaka
 
hahhhhhh kwakweliiii dunia ina mambo aseeeh
 
Ana mwenzake huyo, kila ukifungua clouds tv huyu hapa, ukifungua tbc huyu hapa, Channel 10 huyu hapa,na huko kote ni kwa wakati mmoja hadi hua nashangaa.
Suluhisho ni kuuza hiyo tv tu basi.
 
Ili kutouza Tv nitaachana na local channels nahamia BBC or CNN tu kule najua hata kusema "this is my phone hawezi "[emoji1]
 
Habari wakuu,

Chief wetu tangu apewe madaraka sijawahi kumwelewa anaongea mambo ya ajabu ajabu hana jambo jema la kujenga yote kwake ni kubomoa tu, hanaga maandalizi cha kuongea na kutoongea, hapo nyuma viongozi wenzake waliandaliwa hotuba, walijiaanda nini cha kusema hata kama ni nje ya hutuba lakini kinafata misingi ya uongozi, ila kuna kitu nimependa kutoka kwake, tangu na tangu anahubiri kubana matumizi kwa mambo ambayo sio ya msingi na nimeona sehemu nyingi anawaambia hata watumishi wake kubana matumizi..

Huu utaratibu ni mzuri kwangu, kwakua sipati chochote kutoka kwake hata nikimsikiliaza mpaka mwisho. Hivyo basi nachofanya kwa sasa akianza kuongea tu nazima TV, naswitch off kabisa nachomoa cable zote naweka pembeni, nafanya hivyo kubana matumizi hizo unit nitakazotumia kumsikiliza bora nibane kwa wakati huo ili kwa baadae nizitumia kuangalia katuni..

Nawashauri wenzangu mfanye kama mimi tubane matumizi vizuri..

[HASHTAG]#Mohagachi[/HASHTAG]
Hii imenipendeza
Wewe ni mtu mzima wa miaka tu, vingine bureee kabisa maana huu uzi sio wa kuandikwa na wenye akili, alafu mtu mzima mwingine mwenye akili ana 'like' kabisa hii rubbisha, duh!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom