Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.

tatizo ketu tunadhani ukishaakuwa mwanasiasa unaxaemption na ndio maana wabunge wakajisahau sasa unadhani raisi ndio mahakama au
 
The greatest leader is not necessarily the one who does the greatest things.He is the one who help peoples to do the greatest things-Ronald Wilson Reagan (40 President of U.S.A 1981-1989).
 
Madaraka matamu. Magu kesha lewa madaraka na ku display ile character ya watawala makatili wa nchi za kiafrika
 
Unapomlalamikia Mh. Rais kitu ambacho hahusiki nacho kabisa usisahau kuwaambia hao unaowatetea kuwa wanapaswa kutii sheria bila shuruti. Lowassa kuwa maarufu au kuwa mgombea urais si exepmtion ya kutotii taratibu, sheria na kanuni.
 
Kwamba meli anayoiongoza inaenda mrama....

He doesn't know what to do anymore and doesn't care anymore...

Uwanja wa Chato na hizo ndege,ndio kumbukumbu yake akiondoka (legacy)....
 
Kwamba meli anayoiongoza inaenda mrama....

He doesn't know what to do anymore and doesn't care anymore...

Uwanja wa Chato na hizo ndege,ndio kumbukumbu yake akiondoka (legacy)....

Lakini ndio kwanza kaingia mwaka wa pili mpaka miaka mitano yawezekana legacies kuongezeka.
 
Bado miaka 8 na miezi Kama kumi hivi. Bado ngoma mbichi.

CCM oyeee, CCM oyeee, Dar Es salaam safiii? Safiiii.....hahahahaha.......wanasiasa Hawa........Mungu anawaona! Hata wale wanaitikia anawaona pia.....
 
he he! unataka ifutwe!
kwani kipindi unaiandika ulikuwa umelewa..?
 
Mimi naamini kutiii mamlaka iliyoko madarakani na najiona kufanya vizuri katika kila sector ya maisha yangu. ..I do believe in POSITIVE THINKING, hivyo kila kitu kizuri kinanijia. ..NAMHESHIMU SANA SANA RAIS WANGU JPJM na serikali yote...kwa kufanya hivi POSITIVE ENERGY YA UNIVERSE inanisaidia mambo mengi sana. ...Have a nice day my friend
 
NAMWOMBEA RAIS JPJM NA SERIKALI YA TANZANIA. ..MWENYE ENZI MUNGU ATUONGOZE MILELE YOTE KATIKA JINA LA YAHUSHUA HA MASHAIC. .. AMEN RA
 
NAMWOMBEA RAIS JPJM NA SERIKALI YA TANZANIA. ..MWENYE ENZI MUNGU ATUONGOZE MILELE YOTE KATIKA JINA LA YAHUSHUA HA MASHAIC. .. AMEN RA

Safi sana mkuu. Magufuli yupo. Unamtaka humtaki......it's up to you. Hivi tukilalamika inatusaidia nini? Ukilaumu kwamba maisha in magumu yatakuwa marahisi instantly? Sana sana unajipa mastress ya bure.....unakuwa mlalamishi. Huoni jema lolote la nchi yako.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…