Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
1484716638487.png
 
Bunge la awamu ya tano hakika halina nguvu yeyote. Aliye linyima nguvu bado anaendelea kuongeza wabunge. Wabunge hasa hawa wa mbeleko ni wa kazi gani sasa!. Hapa tunadanganyana tu eti tunabana matumizi. Tunanyima wanafunzi mikopo tunaongeza wabunge wa kuendelea kutumia kodi zetu wakati wanachoenda kufanya bungeni ni kupigia makofi fikira za mtukufu.
 
Bunge letu ndio basi tena.

Yule Naibu Spika ndio the most HOPELESS parliament leader this Country has ever had.

Ndugai anajulikana kwa kutotaka kuburuzwa lakini kwa serikali hii hana namna ya kufurukuta.

Sasa ni kwamba sio bunge, tena ila ni muhuri wa CCM wa kupitisha mambo yote ya serikali.
 
Ishara ya kwanza ni kufunga bunge tusilione.

pili kukataza siasa hapa ndipo penye point kubwa mkulu anahofu na mpinzani wake mpaka tunapata wasiwasi kwamba kama ameshinda na ana uhakika anapendwa unmhofia nini aliyeshindwa? Hapo ndipo tunapopata mashaka

tatu kamata kamata ya viongozi wa upinzani na kuvuruga biashara zao ni faida ya nani ili iweje ila mimi nasema kama mwisho umefika umefika tu.

mengine ongezeni karibuni
 
Kushindia uji na maembe kwenu ,haimanishi kuwa Tanzania kuna baa la njaa.

Kuna tofauti kubwa kati ya mtu fulani kuwa na njaa na nchi ya Tanzania kukumbwa na njaa.

Njooni Rukwa, Mbeya, Njombe, morogoro chakula kinaozea shambani

Nyumbu mlielewe hili.
 
unamwogopa aliyeshindwa kwa nini tusiamini uliupora urais wake ndo mana hutaki atembee na kuongea na raia wa nchi ebu aje hapa mwenye majibu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom