Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kushindia uji na maembe kwenu ,haimanishi kuwa Tanzania kuna baa la njaa.

Kuna tofauti kubwa kati ya mtu fulani kuwa na njaa na nchi ya Tanzania kukumbwa na njaa.

Njooni Rukwa, Mbeya, Njombe, morogoro chakula kinaozea shambani

Nyumbu mlielewe hili.
umesoma kilichoandikwa na muanzisha uzi?
 
Ishara ya kwanza ni kufunga bunge tusilione.

pili kukataza siasa hapa ndipo penye point kubwa mkulu anahofu na mpinzani wake mpaka tunapata wasiwasi kwamba kama ameshinda na ana uhakika anapendwa unmhofia nini aliyeshindwa? Hapo ndipo tunapopata mashaka

tatu kamata kamata ya viongozi wa upinzani na kuvuruga biashara zao ni faida ya nani ili iweje ila mimi nasema kama mwisho umefika umefika tu.

mengine ongezeni karibuni

Kwa hiyo tukusaidaje, sasa labda?
 
Kwa hiyo tukusaidaje, sasa labda?
Inaonekana uko karibu naye msaada ni huu aacha mambo yaende kwa mujibu wa sheria asimhofie sana mpinzani wake kwa kuwa wakiruhusiwa kufanya siasa ataokota mazuri na kujirekebisha anakokosea
 
Inaonekana uko karibu naye msaada ni huu aacha mambo yaende kwa mujibu wa sheria asimhofie sana mpinzani wake kwa kuwa wakiruhusiwa kufanya siasa ataokota mazuri na kujirekebisha anakokosea

Kama wewe ni criminal uachwe tu kwa sababu ni chakadema?
 
Ishara ya kwanza ni kufunga bunge tusilione.

pili kukataza siasa hapa ndipo penye point kubwa mkulu anahofu na mpinzani wake mpaka tunapata wasiwasi kwamba kama ameshinda na ana uhakika anapendwa unmhofia nini aliyeshindwa? Hapo ndipo tunapopata mashaka

tatu kamata kamata ya viongozi wa upinzani na kuvuruga biashara zao ni faida ya nani ili iweje ila mimi nasema kama mwisho umefika umefika tu.

mengine ongezeni karibuni

Jk nae Mlisema hakushinda Uchaguzi wa 2010 japo

Bunge aliruhusu Liwe Live

Hakukataza Siasa

Hapakuwa na Kamata Kamata ya Viongozi m.k

Tulitaka Rais Kama Kagame na tukawa tunamzodoa Jk alipokuwa na Bifu nae sasa Kaja Huyu nako tunalia lia
 
Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
Unajua "national and individual goals"?
 
Wasalaam wandugu wote hapa jamvini,

Naandika ujumbe huu huku machozi yakiwa shavuni, kifupi nataka mnisaidie kumhoji mkuu masuala makuu matatu ya kiutumishi kama ifuatavyo

1.ni lini atarejesha increment za waajiriwa kama ilivyo takwa la kisheria waliloingia waajiriwa dhidi ya waajiri?

2.Madaraja utaanza kupandisha lini ?

3.ajira ulizotudanganya ziko wapi?
 
Tulitaka nchi iendeshwe kwa nidhamu kama ilivyo sasa.
Ki ukweli kwa sasa vyama vya upinzani vimepoteza kabisa mvuto. Vimepoteza dira na kila kitu.
Anayebisha haya niliyoyasema naomba aniambie, ni sera gani ya chama chochote cha upinzani inashughulikiwa kwa sasa ili kuleta maendeleo ya nchi na wananchi?
Hapo utagundua kuwa wanaojifanya wapinzani wengi wao wanajali maslahi yao tu.
 
Pia mmebanwa sasa hivi wafanyakazi wa serikali mbona mlipokuwa mkiishi kama miungu sisi tunahenyeka mbona mlikuwa kimya mpaka mlikuwa mnaitwa kwenye familia zenu ni akina kikwete
 
Wapo bize kuteua na kutengua hawajui kama kuna vijana wanaotaka ajira.

Aliyeshiba hamjui mwenye njaa.

Wasalaam wandugu wote hapa jamvini,

Naandika ujumbe huu huku machozi yakiwa shavuni, kifupi nataka mnisaidie kumhoji mkuu masuala makuu matatu ya kiutumishi kama ifuatavyo

1.ni lini atarejesha increment za waajiriwa kama ilivyo takwa la kisheria waliloingia waajiriwa dhidi ya waajiri?

2.Madaraja utaanza kupandisha lini ?

3.ajira ulizotudanganya ziko wapi?
 
Kwanza wataabike kabisa yeye anataka kujua lini atapandishw daraja waakati wapo ambao hawana mpango wa kiajliwa vipi hao nani atawapandisha chrome au daeaja
 
Wewe unawaza kuongezewa mshahara hufikirii wenzio wanashindia mizizi na matunda poli kwa njaa hata haya huna mi mnaniboha sana wafanyakazi wa serikali tena ikiwezekana hiyo mishahara ipunguzwe mtu elimu hana eti anataka nyongeza hata ujuzi kazi yake kutumwa tu hapo ofisini eti nae anajiita afisa wa serikali mmmmh Mimi kwetu ndo kikwete unaakili kweli wewe?
 
"Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe"

Kama huelewi utaenda kuelewa jela
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom