umesoma kilichoandikwa na muanzisha uzi?Kushindia uji na maembe kwenu ,haimanishi kuwa Tanzania kuna baa la njaa.
Kuna tofauti kubwa kati ya mtu fulani kuwa na njaa na nchi ya Tanzania kukumbwa na njaa.
Njooni Rukwa, Mbeya, Njombe, morogoro chakula kinaozea shambani
Nyumbu mlielewe hili.