Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Mkuu uko serious? Mbona hiyo ID yako ya ISIS ni kitu negative? Tukiiona tu tunakukumbuka kuchinjana, what is positive about that. Anyway nimeshindwa kufuta kama vipi liacheni hili lithread lishuke chini [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]Mimi naamini kutiii mamlaka iliyoko madarakani na najiona kufanya vizuri katika kila sector ya maisha yangu. ..I do believe in POSITIVE THINKING, hivyo kila kitu kizuri kinanijia. ..NAMHESHIMU SANA SANA RAIS WANGU JPJM na serikali yote...kwa kufanya hivi POSITIVE ENERGY YA UNIVERSE inanisaidia mambo mengi sana. ...Have a nice day my friend