Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Mimi naamini kutiii mamlaka iliyoko madarakani na najiona kufanya vizuri katika kila sector ya maisha yangu. ..I do believe in POSITIVE THINKING, hivyo kila kitu kizuri kinanijia. ..NAMHESHIMU SANA SANA RAIS WANGU JPJM na serikali yote...kwa kufanya hivi POSITIVE ENERGY YA UNIVERSE inanisaidia mambo mengi sana. ...Have a nice day my friend
Mkuu uko serious? Mbona hiyo ID yako ya ISIS ni kitu negative? Tukiiona tu tunakukumbuka kuchinjana, what is positive about that. Anyway nimeshindwa kufuta kama vipi liacheni hili lithread lishuke chini [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Safi sana mkuu. Magufuli yupo. Unamtaka humtaki......it's up to you. Hivi tukilalamika inatusaidia nini? Ukilaumu kwamba maisha in magumu yatakuwa marahisi instantly? Sana sana unajipa mastress ya bure.....unakuwa mlalamishi. Huoni jema lolote la nchi yako.
Mwaka mmoja kama alikua anaelekea kuzuri, tungeweza kusoma alama za nyakati, miaka mitano tutakua wapi, naomba niambie tunaelekea wapi ukiangalia alama za nyakati kwa sasa...
 
Amen RA
 
Mkuu uko serious? Mbona hiyo ID yako ya ISIS ni kitu negative? Tukiiona tu tunakukumbuka kuchinjana, what is positive about that. Anyway nimeshindwa kufuta kama vipi liacheni hili lithread lishuke chini [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
0ceb5ce23ecb0df3754826c953220206.jpg
936a52b58a3c269da47ddf8f694f6035.jpg
 
Mkuu uko serious? Mbona hiyo ID yako ya ISIS ni kitu negative? Tukiiona tu tunakukumbuka kuchinjana, what is positive about that. Anyway nimeshindwa kufuta kama vipi liacheni hili lithread lishuke chini [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
magu ni failure, he won't leave any legacy behind zaidi ya aibu tupu!
 
Mkuu uko serious? Mbona hiyo ID yako ya ISIS ni kitu negative? Tukiiona tu tunakukumbuka kuchinjana, what is positive about that. Anyway nimeshindwa kufuta kama vipi liacheni hili lithread lishuke chini [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
Acha tulishushe Rebeca 83 ukiletewa za kuleta nibonyeze nitakutetea kisheria kortini. Wee komaa
 
ISIS News - Latest Updates, Pictures and Videos on the Islamic State | Daily Mail Online

Mtu wa kawaida, akiskia ISIS naelewa hili, sio Goddess, najua unajua hili ila unanizuga tu lol
Hamna ndugu yangu ili nipate faida gani. ..unajua binadamu hubadilisha jina zuri kuwa baya na hasa a powerful name kama GOD and dog. ..ndiyo maana MUHUBIRI (Biblia Takatifu ) anasema UFALME WA MWENYE ENZI MUNGU UMEFICHWA NA NI HAKI YA MFALME KUUTAFUTA. ..ISIS NI GODESS OF MAGIC. ..
Please Google OSIRI ISIS NA HORUS. ..it's beautiful indeed. ....have a nice day my friend
9580eaa459b79b9a3c23ffd2d053a997.jpg
 
2020 kuna watu ndani ya chama watajitokeza kumpinga, ule mfumo wao wa kuachiana mpaka kiongozi amalize miaka 10 naona safari hii hawatokubali, NEC wajiandae na mchakato wagombea 2020
 
Mwaka mmoja kama alikua anaelekea kuzuri, tungeweza kusoma alama za nyakati, miaka mitano tutakua wapi, naomba niambie tunaelekea wapi ukiangalia alama za nyakati kwa sasa...
Vipi hutaki tena ifutwe?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom