simba45 mkali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,980
- 1,879
Gundu.Hatuna Rais bali tuna bundi(Owl)
Zigo hiloooooWanajukwaa.
Habari za usiku,naweka mezani juu ya hoja yangu,kua je rais wa nchi yetu huyu wa awamu ya 5 je ni rais wa wanaCCM pekee au ni rais wa WATANZANIA wote?
Huyu ni baba wa familia asiejua alifanyalo au nini tatzo,anzia matamshi yake hayasadifu kutamkwa na mkuu wa nchi,mbaguzi na pengne hajui alitendalo,binafsi sikutarajia rais huyu kua hivi,naichukia October 25 km taifa tumebebeshwa mzigo wa tope.
Siku njema huonekana asubuhi, hapa hakuna dalili ya siku njema maana asubuhi imeanza na Giza! Inataka moyo Wa chuma kuwa na subira kwa dalili hizi!mkuuuu we kuwa mpole ndo kwanza ananzaaaa sasaaaa
Wabwia unga kazi mnayo....mlizoea vya kunyo ga[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa hapa unga unakujaje ww ndo umekurupuka una low thinking capacityWabwia unga kazi mnayo....mlizoea vya kunyo ga[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Labda kumuombea afe kila wakikatwa kodiHivi Kuna watu wanapata huo Muda wa kumuombea?!!
Viatu vimepwaya sana,yawezekana pia hashauriki maana magogoni kuna watu na busara zao wengi.Mimi nilianza kumuona siyo mtetea wanyonge pale alipotoa amri mjini Arusha wastaafu ATCL wasilipwe haki zao za PPF hata baada ya PPF kuamriwa na mahakama kukamata mali za ATCL na kuzinadi kufidia madai ya wastaafu hao
Najuta kumfahammkuuuu we kuwa mpole ndo kwanza ananzaaaa sasaaaa
Huna jipya,mbwia unga yule anaeweza kwenda msiban badala ya kufariji anaporomosha ugoro wa maneno,km vile mto ngono upo Kagera.Wabwia unga kazi mnayo....mlizoea vya kunyo ga[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hata wao wameingia chaka wanajuta kumnadi mkulu.Zigo hilooooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Hivi TOT wapo bado?
Tuna mkosi mkubwaHuyu ni chizi aliyepewa rungu, anawaza maadui muda wote, na anabarikiwa nao.