Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Mimi nilianza kumuona siyo mtetea wanyonge pale alipotoa amri mjini Arusha wastaafu ATCL wasilipwe haki zao za PPF hata baada ya PPF kuamriwa na mahakama kukamata mali za ATCL na kuzinadi kufidia madai ya wastaafu hao
 
Wabwia unga kazi mnayo....mlizoea vya kunyo ga[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wanajukwaa.
Habari za usiku,naweka mezani juu ya hoja yangu,kua je rais wa nchi yetu huyu wa awamu ya 5 je ni rais wa wanaCCM pekee au ni rais wa WATANZANIA wote?

Huyu ni baba wa familia asiejua alifanyalo au nini tatzo,anzia matamshi yake hayasadifu kutamkwa na mkuu wa nchi,mbaguzi na pengne hajui alitendalo,binafsi sikutarajia rais huyu kua hivi,naichukia October 25 km taifa tumebebeshwa mzigo wa tope.
Zigo hilooooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Hivi TOT wapo bado?
 
Mimi nilianza kumuona siyo mtetea wanyonge pale alipotoa amri mjini Arusha wastaafu ATCL wasilipwe haki zao za PPF hata baada ya PPF kuamriwa na mahakama kukamata mali za ATCL na kuzinadi kufidia madai ya wastaafu hao
Viatu vimepwaya sana,yawezekana pia hashauriki maana magogoni kuna watu na busara zao wengi.
 
Wabwia unga kazi mnayo....mlizoea vya kunyo ga[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Huna jipya,mbwia unga yule anaeweza kwenda msiban badala ya kufariji anaporomosha ugoro wa maneno,km vile mto ngono upo Kagera.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom