Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Unataka tumwamini nani sasa kama Mh Rais si wa kuamini?
Dr Slaa
Prf Lipumba?
F Mbowe?
Z..kabwe?
T. Lissu
au Mzee wa Upako? au Gwajima?
 
MODS huu ni utapeli sasa...hii mada ni tofauti na mada ulio unganisha ...Au umeona nikianzisha mada tofauti na unayo amini basi ni tatizo
 
ili jipu ipone shurti damu itoke ... na bado hamjaipata fresh ... sisi wakolomije si waspoti spoti bana ...
 
Moderators.... Mmekua influenced na Lizabon ... Okay narudia... Tumetekwa siasa puuzi na kusahau mambo ya msingi kama ifuatavyo...

1. UHAMISHO KWA WATUMISHI WA UMA...... ukatili wa mikataba ya kazi.

2. AJIRA KWA WALIMU WA SCIENCE .... HEWA

3. TAMKO LA KIKATILI LA MAMA KAIRUKI JUU YA KUPANDA MADARAJA KWA WATUMISHI .... eti hadi mafunzo maalumu... Ukatili mkubwa.

4.Serikali ya MAGUFULI kukiuka mkataba halali wa kisheria kutoka kukatwa 8% hadi kufikia 15%.... HII NI AIBU KUBWA. BUNGE NA SERIKALI HAPA WOTE MMEKUA WAUAJI NA MAJAMBAZI....

5.KUENDELEA KUPANDA KWA GHARAMA ZA MAISHA KILA UCHAO.

6. MILIONI HAMSINI ZA KILA KIJIJI ZIKO WAPI....


Naongea na RAIS.

Lizaboni Acha mihemko.

Nataka majibu toka ikulu.


UFUTENI NA HUU...
 
Wamemyutt[emoji200] pori
Mbona hawafuti[emoji196] wa lumumba
 
Hapana, anatumbua watu kama wewe yaani wababishaji wa mjni. Mnajazana tu mjini hamna mnalofanya, kazi porojo tu,
kaoshe makalio weyee... ushegongwa 3 zinakutosha ndo mana ubongo umelegea hamjitambui😎 mbugila wa lumumbaz
 
kaoshe makalio weyee... ushegongwa 3 zinakutosha ndo mana ubongo umelegea hamjitambui😎 mbugila wa lumumbaz


Kumbe ni mlalahoi MWALLA ndo anasema hayaaa, mi nilifikiri mtu wa maana? Una bahati uko mbilikimo sikuoni, ila ungekuwa mrefu ningekukamata na kukufayizia.
 
Kumbe ni mlalahoi MWALLA ndo anasema hayaaa, mi nilifikiri mtu wa maana? Una bahati uko mbilikimo sikuoni, ila ungekuwa mrefu ningekukamata na kukufayizia.
Ona[emoji90] [emoji87] jingine hili hivi nyie zombiez wa lumumba huyu mume wenu sizonje[emoji196]atakuwa kawamwagia upako Mbaya sana.
Muulizeni bashit yy ndo anamwagiwa upako mlaini awasaidie
 
U
UMEPOTEA HUKU UMEKUJA KUFANYA NINI FANURU
 
Ona[emoji90] [emoji87] jingine hili hivi nyie zombiez wa lumumba huyu mume wenu sizonje[emoji196]atakuwa kawamwagia upako Mbaya sana.
Muulizeni bashit yy ndo anamwagiwa upako mlaini awasaidie


We MWALLA weweee, shauri yako, ntakushikisha ukuta.....jichunge sana.
 
Bidhaa
Sukari dukani kilo ilikuwa sh 1800 Leo kilo 2500 hadi 2200.
Unga wa Sembe dukani kilo ulikuwa unauzwa 1300 hadi 1400. Leo kilo 1800 hadi 2200
Maharage kilo ilikuwa sh 1500 hadi 1600. Leo 2200. hadi 2500
Ajira
Serikali ilikuwa inaajiri watumishi zaidi ya 60000 kila mwaka kada zote . Leo Jpm sijui kamuajir nani. ?
Biashara
Hii ndo imedorora hatari. ...yaan wafanyabiashara wamekua wakali kama nyuki.
Democracy
Demokrasia imeshuka sana kamata kamata ...hira za kudhoofisha upinzani ,kuzuia Mikutano ya hadhara (civil right.)
Matumizi ya ubabe
Hii ndo (hot cake)....yaan viongozi wanafanya yale wayatakayo kama vile uvamizi wa media na kutamka hadharan kuwa wao hawapangiwi la kufanya (their are not under the rule of law )
........
Hebu ongezea na kupunguza zinazokukera ......
Povu ruhusa. ..
 
Reactions: BAK
Ama kweli ...Hapa kazi tu. ...mtu anaichoma moto nyumba yake mwenyewe Leo kwenye kuifanyia marekebisho tena kuta bado zina masizi anasifiwa. ...?...hii ni akili ya 1/4
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…