Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeanzia.....mkapa sukari kilo 500.cementi 5000.Unga kilo 300.nk.Bidhaa
Sukari dukani kilo ilikuwa sh 1800 Leo kilo 2500 hadi 2200.
Unga wa Sembe dukani kilo ulikuwa unauzwa 1300 hadi 1400. Leo kilo 1800 hadi 2200
Maharage kilo ilikuwa sh 1500 hadi 1600. Leo 2200. hadi 2500
Ajira
Serikali ilikuwa inaajiri watumishi zaidi ya 60000 kila mwaka kada zote . Leo Jpm sijui kamuajir nani. ?
Biashara
Hii ndo imedorora hatari. ...yaan wafanyabiashara wamekua wakali kama nyuki.
Democracy
Demokrasia imeshuka sana kamata kamata ...hira za kudhoofisha upinzani ,kuzuia Mikutano ya hadhara (civil right.)
Matumizi ya ubabe
Hii ndo (hot cake)....yaan viongozi wanafanya yale wayatakayo kama vile uvamizi wa media na kutamka hadharan kuwa wao hawapangiwi la kufanya (their are not under the rule of law )
........
Hebu ongezea na kupunguza zinazokukera ......
Povu ruhusa. ..
Pv ruksaTulia halafu andika vizuri..
Sio hira ni hila
Nani analaumiwa rfk au hapo kati kuna muhura chama fulani kiliingilia mamlaka. ..?Ungeanzia.....mkapa sukari kilo 500.cementi 5000.Unga kilo 300.nk.
Leo unamlaumu magu ?
Nani kaleta yote hayo?
Mzee wa msoga.......na kundi lakeNani analaumiwa rfk au hapo kati kuna muhura chama fulani kiliingilia mamlaka. ..?
Au angeanzia mwaka 1985 Nyerere alipoiacha dollar 1 sawa na shillingi 5.Ungeanzia.....mkapa sukari kilo 500.cementi 5000.Unga kilo 300.nk.
Leo unamlaumu magu ?
Nani kaleta yote hayo?
It is true, God likes varieties . Duuu watu kama nyie hamkesekanigiAkupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
Mkuu nyerere aliona mbali sana!Usemi wa mwalimu nyerere kuwa makabila mengine hayafai kuongoza nchi naona kama kuna kaukweli hiviiiiii