Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hivi rmx ya Wimbo wa WAPO -Ney feat Magu na Mwakyembe imeisha toka?....maana ney aliitwa mjengoni akaongezewe mistari au nimekosea?
 
Ungeanzia.....mkapa sukari kilo 500.cementi 5000.Unga kilo 300.nk.
Leo unamlaumu magu ?
Nani kaleta yote hayo?
 
Life goes on maisha hayarudi nyuma tunasonga kwa mwendo wa farasi au kinyonga.
 
Ungeanzia.....mkapa sukari kilo 500.cementi 5000.Unga kilo 300.nk.
Leo unamlaumu magu ?
Nani kaleta yote hayo?
Nani analaumiwa rfk au hapo kati kuna muhura chama fulani kiliingilia mamlaka. ..?
 
Mama ntilie wali ulikuwa 1000 siku hizi wali maharage 1500 wali nyama 2000...na inavyoenda itafika 5000.! Maisha yanakuwa juu ya Dola 1
 
Kwa ujumla CCM wanakatalia madaraka ni lakini hawana lolote la maana kwa nchi hii. Ni ile kudhani wao ndiyo wao lakini siioni future ya taifa hili.

Huyu wa sasa ndiyo atafanya vibaya kuliko watangulizi wake, muda utasema
 
It is true, God likes varieties . Duuu watu kama nyie hamkesekanigi
 
Usemi wa mwalimu nyerere kuwa makabila mengine hayafai kuongoza nchi naona kama kuna kaukweli hiviiiiii
 
Usemi wa mwalimu nyerere kuwa makabila mengine hayafai kuongoza nchi naona kama kuna kaukweli hiviiiiii
Mkuu nyerere aliona mbali sana!
Na siku tukibugi tena tuwape wachaga,wahaya,wanyamwezi,wanyakusya ndio tutakuwa tunaelekea kabirini
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…