Pathetic! Unafikir Kila free thinker ni BAVICHA? jipangeNilijua tu, Matusi ndio SERA ya BAVICHA
Mmh mkuu,waungwana daima hudhibiti ulimi wao,umeleta mada kubali michango vinginevyo utaonekana unamatatizo binafsi,usilazimishe watu kukubali hoja na hapo huwaoni! Ungewaona si ungefanya kitu kisichoandikika?Go to hell mother***cker saa yy Ndio comnder in chief, yy Ndio tumempa dhamana ya kutuongoza?, yy Ndio anakusanya kodi zetu!?, Au unafikir kwa kutumia makalio!? Pumbafu wahed
UchocheziInauma sana lakini ukweli mchungu
Huu utawala sasa ndo unaelekea kaburini
Kila mtu anaona
Dalili za mvua ni mawingu
Tena rashasha zimeanza
Angalieni uchumi ulivyo
Angalieni huu utawala unavyopingwa isivyo kawaida
Angalia unavyotizamwa nje ya Tanzania
Angalia wanaccm wenyewe walivyokasirika juu huu utawala
Nawaambia na amina na iwe hivyo
Natamani hata ile expactation ya mange ya 2017-2020
Au yale maono ya lema maana nishaanza kuhisi kitu
Wachache wanaiponza nchi yetu kila kitu wachache wanalindwa, wanapendelewa, wanaachwa, wanatetewa kwa uovu wao, wanaachwa wanaconduct uovu tz nzima
Amini usiamini haitafika 2018 aaaaa/ naapa. kama utawala huu haujaenda kaburini
kifo cha ccm si kwa sababu ya jmp pekee ni mwendelezo toka mwinyi-mkapa- kikwete-itamalizikia kwa ********Inauma sana lakini ukweli mchungu