comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,952
Inauma sana lakini ukweli mchungu
Huu utawala sasa ndo unaelekea kaburini
Kila mtu anaona
Dalili za mvua ni mawingu
Tena rashasha zimeanza
Angalieni uchumi ulivyo
Angalieni huu utawala unavyopingwa isivyo kawaida
Angalia unavyotizamwa nje ya Tanzania
Angalia wanaccm wenyewe walivyokasirika juu huu utawala
Nawaambia na amina na iwe hivyo
Natamani hata ile expactation ya mange ya 2017-2020
Au yale maono ya lema maana nishaanza kuhisi kitu
Wachache wanaiponza nchi yetu kila kitu wachache wanalindwa, wanapendelewa, wanaachwa, wanatetewa kwa uovu wao, wanaachwa wanaconduct uovu tz nzima
Amini usiamini haitafika 2018 aaaaa/ naapa. kama utawala huu haujaenda kaburini
Daah HUAWEI Y 530-U00 INA nguvu kinoma
Tukisema tunaitwa wachochezi ila mungu ndiye anayejua jinsi watanzania wanavyoteswa na kuumizwa utawala wa CCM
Tatizo lako huelewi maana ya siasa, ambayo wewe na watu wako mnaifanya kila siku katika ngazi ya familia.ohoo Tanzania naona kwa kipndi hiki cha miaka miwili watu wamejikita zaidi kwenye siasa sio mtoto sio mkubwa sio shule sio mtaan,sio watumishi wa mungu sio wasanii kila sehemu TZ n siasa sijui tunaelekea wapi sasa.Tuache bhana tusahau siasa mpaka 2020.Naipenda nchi yangu ila sipendi yanayoendelea nchini.mtazamo tu jamani
Hapana si lazima tuinyambue kufikia huko, ameeleweka vyema. Haya makitu ni ujinga kuyasimamia. Kwanza inaonesha hatuijui haswa hatuujui huu mfumo wa vyama vingi na demokrasia yake.Tatizo lako huelewi maana ya siasa, ambayo wewe na watu wako mnaifanya kila siku katika ngazi ya familia.
Pamoja na kukukera lakin 75% ya maisha yako humu ni siasa hivyo haikwepeki.Wanakera sana! Mbaya zaidi wanatufanya sote tufanane nao. Huna utakaloongea lisihusishwe na vyama vyao... Inaboa sana. Aksante kwa kuliona Mkuu.
Aksante kwa uelewa wa fasta! Tusiwape vichwa hawa watu. Kuna mengi ya kujadilika kitaifa, mfano mvua zinanyesha now, maji yapotea, hakuna wenye uwezo kwa gharama nafuu kutoa mbinu ya kuyazuia kwa kilimo cha bustani au ufugaji wa samaki. Najua wapo. Mengi sana.Tatizo lako huelewi maana ya siasa, ambayo wewe na watu wako mnaifanya kila siku katika ngazi ya familia.
hapa wewe umeongea siasa, sema wewe hujitambui kama ni siasaWanakera sana! Mbaya zaidi wanatufanya sote tufanane nao. Huna utakaloongea lisihusishwe na vyama vyao... Inaboa sana. Aksante kwa kuliona Mkuu.
Tumsubiri Mungu atuletee malaika au nabii aje atujuze kwamba muda na akili zetu tunavipoteza kijinga? Hapana, ni sisi wenyewe. Kwanza lituingie kichwani hili, Tanzania nzuri inanitegemea mimi na familia yangu nyumbani.Pamoja na kukukera lakin 75% ya maisha yako humu ni siasa hivyo haikwepeki.
Kiongozi wa nchi naye anapiga siasa kila mara badala ya kufanya kaziohoo Tanzania naona kwa kipndi hiki cha miaka miwili watu wamejikita zaidi kwenye siasa sio mtoto sio mkubwa sio shule sio mtaan,sio watumishi wa mungu sio wasanii kila sehemu TZ n siasa sijui tunaelekea wapi sasa.Tuache bhana tusahau siasa mpaka 2020.Naipenda nchi yangu ila sipendi yanayoendelea nchini.mtazamo tu jamani
Wote tuache haya mambo!Kiongozi wa nchi naye anapiga siasa kila mara badala ya kufanya kazi
ohoo Tanzania naona kwa kipndi hiki cha miaka miwili watu wamejikita zaidi kwenye siasa sio mtoto sio mkubwa sio shule sio mtaan,sio watumishi wa mungu sio wasanii kila sehemu TZ n siasa sijui tunaelekea wapi sasa.Tuache bhana tusahau siasa mpaka 2020.Naipenda nchi yangu ila sipendi yanayoendelea nchini.mtazamo tu jamani
Labda nawe hujatuelewa Mkuu! Tumesema tusilinyambue hilo neno hapa, mtoa mada ameshaeleweka nini amemaanisha labda wewe ndo hukumuelewa. Haya unavyoikosoa serikali kipindi hiki ili iweje? We ndo chama uliyeitengeneza Ilani aliyoiahidi kuitekeleza?Wewe Donald ,
Pamoja na hawa wenzako Ard67 na Ally10 . . , aidha ni vilaza wa ccm , au ni mambumbumbu tuu wa kawaida . .
Siasa haiwezekani kutengwa na maisha yetu ya kila siku. .
Siasa ni mfumo na aina kamili kabisa ya maisha ambayo jamii inayafuata, au imeamua kuyaishi . .
Ujamaa ni siasa, ukomunisti ni siasa, ubepari vilevile . .
Siasa ni mfumo kamili wa mwanadamu ktk kuchagua viongozi wao, ktk kuchagua mtindo wao wa kutafuta HAKI, UCHUMI, nk . .
Wanasiasa uchwara (professional liers) ndio wanaodanganya wananchi eti wasijiingize kwenye siasa . . , wakiwaaminisha kuwa siasa ni uongo, siasa ni vita, siasa ni uadui, au siasa ni safi kwa wao tuu wenye madaraka . . , ambao kwa ajabu hata wao wamepewa madaraka ya kuongoza nchi kwa siasa hiyo hiyo . . !
Waache watanzania wajadili, waulizane, na wawakemee matapeli wa kisiasa . . , USITUPANGIE CHA KUZUNGUMZA . . !
unachotakiwa kujua siasa imegawanyika katika makundi tofautitofauti mm nnachopinga ni aina ya siasa inayoendelea kwasasa sio wasomi sio wanafunzi sio mtaani sio viongozi sio wasanii yan n siasa.Nop embu tuwaige marekani hata ghana na baadhi ya nchiHapana si lazima tuinyambue kufikia huko, ameeleweka vyema. Haya makitu ni ujinga kuyasimamia. Kwanza inaonesha hatuijui haswa hatuujui huu mfumo wa vyama vingi na demokrasia yake.
Uchaguzi ni vyama au watu kuuza sera zao kuomba ridhaa, akishachaguliwa na wengi wote ni kubaki tu kimya atekeleze aliyowaahidi wapiga kura wake. Atafanya hivyo kwa njia na mikakati yake, akishindwa, uchaguzi ndo njia yake.
Tumeuingia mfumo kwa mbele hata hatuujui. Kuna mengi sana ya msingi ya kujadiliwa, daily wanasiasa na siasa. Hata wataalamu hawajadiliani kuhusiana na field zao siasa tu, BIG NO.