Maandamo hakuna kwa sababu jamaa ni dikteta na amewapa mamlaka wanajeshi kuvunja na kuwajeruhi vibaya kabisa raiaTangu kaingia Jembe JPM Maandamano ya Kimaku maku hakuna
Utakuwa mchawi wew c bureTangu Magufuli aingie madarakani..amani mtaani imeongezeka mara dufu..zilizobaki ni kelele mitandaoni tu..na njama ili kufifisha malengo yake ya kutuletea maendeleo. Wale wachache weningine wanapokosea wakikamatwa na vyombo vya dola wanapiga kelelele wametekwa..mfano Bashe..Roma tunasubiri upelelezi.
Tukio gani jingine linalotishia amani?
Maana propagada zinatia kinyaa..uzuri tushawashitukia..
Tukio la waziri kuoneshewa bastola mbele ya umati wa watu nalo unaliona ni la kawaida?
Na mbaya zaidi hakuna onyo lolote lililotolewa juu ya yule mhusika wa tukio lile.
Na vipi kuhusu matukio ya kupotea kwa watu kama vile ben saa nane nalo ni jambo la kawaida?
Vipi kuhusu mauaji ya wanavyuo kila kukicha nalo ni la kawaida?
Waliozoea kukwapua fedha za dili, kwa awamu hii wanaisoma namba kisawa sawa.Tangu huyu bwana apate kiti cha urais amani imepungua kwa kiasi kikubwa ,matukio ya utekaji yameongezeka, rushwa imeshamiri huku yeye akibariki kwa kuita ni vihela vya kubrashia viatu tu hivyo
Pia na hata mapato ya nchi yamepungua na yanazidi kupungua kila kukicha kwa kufanya maamuzi ya kukurupuka .
Huyu bwana tangu akwae hicho kiti amekuwa akiwagombanisha vyombo vya usalama na raia imefika kipindi raia anaogopa vyombo vya usalama kuliko vibaka na majambazi.
Umesahau tukio la mwanachuo wa udom aliyeuwawa? Umesahau hata tukio la yule mwanafunzi wa chuo cha ifm ambaye hata mwezi hajamalizaMwanachuo yupi aliyeuawa na taarifa zikatoka kama wale niliokutajia Nape hakuwa waziri aliponyonyeshwa pistol hata hivyo ujiulize Arusha walikufa watu wangapi walipokaidi amri serikali kutoandama? Nape ni nani nchi hii ambaye akikatazwa kitu analazimisha na dola imwangalie tu? acha ushabiki wa kijinga toa fact usiburuzwe
wewe ni muongo na MHAINI: ACHA UZANDIKITangu huyu bwana apate kiti cha urais amani imepungua kwa kiasi kikubwa ,matukio ya utekaji yameongezeka, rushwa imeshamiri huku yeye akibariki kwa kuita ni vihela vya kubrashia viatu tu hivyo
Pia na hata mapato ya nchi yamepungua na yanazidi kupungua kila kukicha kwa kufanya maamuzi ya kukurupuka .
Huyu bwana tangu akwae hicho kiti amekuwa akiwagombanisha vyombo vya usalama na raia imefika kipindi raia anaogopa vyombo vya usalama kuliko vibaka na majambazi.
Ni wapuuzi wachache tu wanaosema amani haipo.Toka aingie JPM madarakani,
1. Wizi wa mabenki sijasikia,
2. Mauaji ya albino sijasikia,
3. Panya roads hawapo,
4. Etc
Amani ambayo inasemekana haipo ni propaganda za kwenye mitandao za wapinzani waliokosa hoja sasa hivi!
5.Maandamano ya sheikh ponda sijasikiaToka aingie JPM madarakani,
1. Wizi wa mabenki sijasikia,
2. Mauaji ya albino sijasikia,
3. Panya roads hawapo,
4. Etc
Amani ambayo inasemekana haipo ni propaganda za kwenye mitandao za wapinzani waliokosa hoja sasa hivi!
We unaona ni hali ya kawaida jamaa tangu aingie madarakani haja toa ajira mpaka leo na kila kukicha watu wanafukuzwa kazi bila sababu ya msingi na pia wale waliobahatika kubaki wamepunguziwa mishahara na hamna posho yoyote ile halafu bila aibu unakuja kumsifia are you mentally fit?Waliozoea kukwapua fedha za dili, kwa awamu hii wanaisoma namba kisawa sawa.
Toa facts ,acha kubwabwajawewe ni muongo na MHAINI: ACHA UZANDIKI
Matukio ya mauaji yamejaa ,nenda huko gomsi,chanika yombo au mbagala nk uwaulize wakazi wanaoishi huko hali ya usalama ipoje halafu ulete mrejesho hapa.5.Maandamano ya sheikh ponda sijasikia
6. Migomo na maandano ya ajabu ajabu hayajasikika
5. Ubadhirifu wa Mali za umma haujasikika au kuripotiwa.
7. Umaarufu wa mabwepande umekufa.
8. Hakuna mwandishi aliueuawa, kutekwa au kutishiwa.
9. Mateja wamepungua vituo vya daladala hususani DSM na mitaani.
10. Uhalifu mkubwa wa kitumia silaha nzito unazidi kupotea.
11. Migongano ya ardhi imepungua.
Toa za kwako tuzione.Huna hoja mkuu fungua madirisha pumzika
bandiko lako linadhihirisha umekubali moja kwa moja ila ndio vile ukweli unaumaNonsense, hamtashinda
Hakuna chuo cha urais mkuu. Hivyo anajifunza kutokana na makosa. Lakini Hakuna ubishi kwamba tangu jpm aingie madarakani AMANI imeongezeka mara dufu. Sijasikia vituo vya polisi kuvamiwa na mengineo aliyoyaorodhesha aliyenitangulia kuchangia. Na hata ujambazi wa kutisha umeendelea kupungua siku hadi siku.Ni kweli mengi mazuri amefanya ila arekebishe haya mabaya machache ili awe kiongozi bora
Mkuu unapokuwa na usingizi ni bora ukalale uumpe mwili nafasi ya kupumzika kuliko kung'ang'ania mitandaoni na kujikuta unapost vitu vya ajabu. Hivi unaweza kutuma ushahidi wa kipindi cha JK na kipindi cha JPM idadi ya matukio ya ukosefu wa amani?Tangu huyu bwana apate kiti cha urais amani imepungua kwa kiasi kikubwa ,matukio ya utekaji yameongezeka, rushwa imeshamiri huku yeye akibariki kwa kuita ni vihela vya kubrashia viatu tu hivyo
Pia na hata mapato ya nchi yamepungua na yanazidi kupungua kila kukicha kwa kufanya maamuzi ya kukurupuka .
Huyu bwana tangu akwae hicho kiti amekuwa akiwagombanisha vyombo vya usalama na raia imefika kipindi raia anaogopa vyombo vya usalama kuliko vibaka na majambazi.
Labda amani imepungua nyumbani kwako na mkeo.Watu maelfu kwa maelfu wanafanya kazi zao kwa amani unasema amani imetokweka tokea alipoingia Magufuli?Tangu huyu bwana apate kiti cha urais amani imepungua kwa kiasi kikubwa ,matukio ya utekaji yameongezeka, rushwa imeshamiri huku yeye akibariki kwa kuita ni vihela vya kubrashia viatu tu hivyo