Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Tangu Magufuli aingie madarakani..amani mtaani imeongezeka mara dufu..zilizobaki ni kelele mitandaoni tu..na njama ili kufifisha malengo yake ya kutuletea maendeleo. Wale wachache weningine wanapokosea wakikamatwa na vyombo vya dola wanapiga kelelele wametekwa..mfano Bashe..Roma tunasubiri upelelezi.
Tukio gani jingine linalotishia amani?

Maana propagada zinatia kinyaa..uzuri tushawashitukia..
Utakuwa mchawi wew c bure
 
Tukio la waziri kuoneshewa bastola mbele ya umati wa watu nalo unaliona ni la kawaida?

Na mbaya zaidi hakuna onyo lolote lililotolewa juu ya yule mhusika wa tukio lile.

Na vipi kuhusu matukio ya kupotea kwa watu kama vile ben saa nane nalo ni jambo la kawaida?

Vipi kuhusu mauaji ya wanavyuo kila kukicha nalo ni la kawaida?

Mwanachuo yupi aliyeuawa na taarifa zikatoka kama wale niliokutajia Nape hakuwa waziri aliponyonyeshwa pistol hata hivyo ujiulize Arusha walikufa watu wangapi walipokaidi amri serikali kutoandama? Nape ni nani nchi hii ambaye akikatazwa kitu analazimisha na dola imwangalie tu? acha ushabiki wa kijinga toa fact usiburuzwe
 
Tangu huyu bwana apate kiti cha urais amani imepungua kwa kiasi kikubwa ,matukio ya utekaji yameongezeka, rushwa imeshamiri huku yeye akibariki kwa kuita ni vihela vya kubrashia viatu tu hivyo

Pia na hata mapato ya nchi yamepungua na yanazidi kupungua kila kukicha kwa kufanya maamuzi ya kukurupuka .

Huyu bwana tangu akwae hicho kiti amekuwa akiwagombanisha vyombo vya usalama na raia imefika kipindi raia anaogopa vyombo vya usalama kuliko vibaka na majambazi.
Waliozoea kukwapua fedha za dili, kwa awamu hii wanaisoma namba kisawa sawa.
 
Umesahau tukio la mwanachuo wa udom aliyeuwawa? Umesahau hata tukio la yule mwanafunzi wa chuo cha ifm ambaye hata mwezi hajamaliza

Yani kwa kifupi matukio ya vifo vya wanavyuo yapo mengi ila ndo vile mengine yanapigwa chinichini tu maana ukiongea unaitwa mchochezi na wanakuweka ndani
 
Tangu huyu bwana apate kiti cha urais amani imepungua kwa kiasi kikubwa ,matukio ya utekaji yameongezeka, rushwa imeshamiri huku yeye akibariki kwa kuita ni vihela vya kubrashia viatu tu hivyo

Pia na hata mapato ya nchi yamepungua na yanazidi kupungua kila kukicha kwa kufanya maamuzi ya kukurupuka .

Huyu bwana tangu akwae hicho kiti amekuwa akiwagombanisha vyombo vya usalama na raia imefika kipindi raia anaogopa vyombo vya usalama kuliko vibaka na majambazi.
wewe ni muongo na MHAINI: ACHA UZANDIKI
 
Toka aingie JPM madarakani,
1. Wizi wa mabenki sijasikia,
2. Mauaji ya albino sijasikia,
3. Panya roads hawapo,
4. Etc
Amani ambayo inasemekana haipo ni propaganda za kwenye mitandao za wapinzani waliokosa hoja sasa hivi!
Ni wapuuzi wachache tu wanaosema amani haipo.
 
Toka aingie JPM madarakani,
1. Wizi wa mabenki sijasikia,
2. Mauaji ya albino sijasikia,
3. Panya roads hawapo,
4. Etc
Amani ambayo inasemekana haipo ni propaganda za kwenye mitandao za wapinzani waliokosa hoja sasa hivi!
5.Maandamano ya sheikh ponda sijasikia
6. Migomo na maandano ya ajabu ajabu hayajasikika
5. Ubadhirifu wa Mali za umma haujasikika au kuripotiwa.
7. Umaarufu wa mabwepande umekufa.
8. Hakuna mwandishi aliueuawa, kutekwa au kutishiwa.
9. Mateja wamepungua vituo vya daladala hususani DSM na mitaani.
10. Uhalifu mkubwa wa kitumia silaha nzito unazidi kupotea.
11. Migongano ya ardhi imepungua.
 
Waliozoea kukwapua fedha za dili, kwa awamu hii wanaisoma namba kisawa sawa.
We unaona ni hali ya kawaida jamaa tangu aingie madarakani haja toa ajira mpaka leo na kila kukicha watu wanafukuzwa kazi bila sababu ya msingi na pia wale waliobahatika kubaki wamepunguziwa mishahara na hamna posho yoyote ile halafu bila aibu unakuja kumsifia are you mentally fit?
 
5.Maandamano ya sheikh ponda sijasikia
6. Migomo na maandano ya ajabu ajabu hayajasikika
5. Ubadhirifu wa Mali za umma haujasikika au kuripotiwa.
7. Umaarufu wa mabwepande umekufa.
8. Hakuna mwandishi aliueuawa, kutekwa au kutishiwa.
9. Mateja wamepungua vituo vya daladala hususani DSM na mitaani.
10. Uhalifu mkubwa wa kitumia silaha nzito unazidi kupotea.
11. Migongano ya ardhi imepungua.
Matukio ya mauaji yamejaa ,nenda huko gomsi,chanika yombo au mbagala nk uwaulize wakazi wanaoishi huko hali ya usalama ipoje halafu ulete mrejesho hapa.

Wengi wanakaa kimya kwa kuwa ukisema kweli kuna mawili either ufunguliwe kesi ya uchochezi au wakutumie watu wakuja kukuteka

Wewe chukulia mfano roma walivyomteka na kumtesa lakini anaogopa kusema ukweli anahofia mkwala waliomchimba.
 
Ni kweli mengi mazuri amefanya ila arekebishe haya mabaya machache ili awe kiongozi bora
Hakuna chuo cha urais mkuu. Hivyo anajifunza kutokana na makosa. Lakini Hakuna ubishi kwamba tangu jpm aingie madarakani AMANI imeongezeka mara dufu. Sijasikia vituo vya polisi kuvamiwa na mengineo aliyoyaorodhesha aliyenitangulia kuchangia. Na hata ujambazi wa kutisha umeendelea kupungua siku hadi siku.
Nadhani ndani ya miaka mitano ya utawala wake uharifu utakuwa umeisha kabisa
Huyo anaesema rushwa imeongezeka hana takwimu kamili. Ni mpinzani asiyejua maana ya upinzani. Anaedhani ya kuwa kuwa mpinzani ni kupinga hata ukweli
 
Tangu huyu bwana apate kiti cha urais amani imepungua kwa kiasi kikubwa ,matukio ya utekaji yameongezeka, rushwa imeshamiri huku yeye akibariki kwa kuita ni vihela vya kubrashia viatu tu hivyo

Pia na hata mapato ya nchi yamepungua na yanazidi kupungua kila kukicha kwa kufanya maamuzi ya kukurupuka .

Huyu bwana tangu akwae hicho kiti amekuwa akiwagombanisha vyombo vya usalama na raia imefika kipindi raia anaogopa vyombo vya usalama kuliko vibaka na majambazi.
Mkuu unapokuwa na usingizi ni bora ukalale uumpe mwili nafasi ya kupumzika kuliko kung'ang'ania mitandaoni na kujikuta unapost vitu vya ajabu. Hivi unaweza kutuma ushahidi wa kipindi cha JK na kipindi cha JPM idadi ya matukio ya ukosefu wa amani?
 
Tangu huyu bwana apate kiti cha urais amani imepungua kwa kiasi kikubwa ,matukio ya utekaji yameongezeka, rushwa imeshamiri huku yeye akibariki kwa kuita ni vihela vya kubrashia viatu tu hivyo

Pia na hata mapato ya nchi yamepungua na yanazidi kupungua kila kukicha kwa kufanya maamuzi ya kukurupuka .

Huyu bwana tangu akwae hicho kiti amekuwa akiwagombanisha vyombo vya usalama na raia imefika kipindi raia anaogopa vyombo vya usalama kuliko vibaka na majambazi.
Labda amani imepungua nyumbani kwako na mkeo.Watu maelfu kwa maelfu wanafanya kazi zao kwa amani unasema amani imetokweka tokea alipoingia Magufuli?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom