Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Toka aingie JPM madarakani,
1. Wizi wa mabenki sijasikia,
2. Mauaji ya albino sijasikia,
3. Panya roads hawapo,
4. Etc
Amani ambayo inasemekana haipo ni propaganda za kwenye mitandao za wapinzani waliokosa hoja sasa hivi!
Watanzania aliyewaroga bado anaishi.
 
Toka aingie JPM madarakani,
1. Wizi wa mabenki sijasikia,
2. Mauaji ya albino sijasikia,
3. Panya roads hawapo,
4. Etc
Amani ambayo inasemekana haipo ni propaganda za kwenye mitandao za wapinzani waliokosa hoja sasa hivi!
Panya road ana alama?
Albino wanalindwa sana. Hawako huru.
Wizi wa mabenki hujasikia ile ya mbagala jambazi akiwa mwanamke?
Amka dogo acha kutumika kama kondomu ya kike
 
Panya road ana alama?
Albino wanalindwa sana. Hawako huru.
Wizi wa mabenki hujasikia ile ya mbagala jambazi akiwa mwanamke?
Amka dogo acha kutumika kama kondomu ya kike
Huo ndo ukweli niliouweka hapo, kama umekutachi wee acha ila wajua usalama na amani imeongezeka!
 
Duh! Inchi inaongoza kwa watu wake kutokuwa na Furaha, sijui Amani mnaipataje, ni somo kubwa sana hili. Palipo na amani hapakosi upendo. Tusijidanganye
Hili ni tatizo la kushikiwa akili, akikwambia kamanda wa anga au wazungu basi unaacha kufanya tafiti wewe mwenyewe uliye eneo la tukio unamwacha mzungu aliyezuiwa kuchukua mchanga akulishe maneno, unategemea nini hapo??
 
Duh! Inchi inaongoza kwa watu wake kutokuwa na Furaha, sijui Amani mnaipataje, ni somo kubwa sana hili. Palipo na amani hapakosi upendo. Tusijidanganye
Hili ni tatizo la kushikiwa akili, akikwambia kamanda wa anga au wazungu basi unaacha kufanya tafiti wewe mwenyewe uliye eneo la tukio unamwacha mzungu aliyezuiwa kuchukua mchanga akulishe maneno, unategemea nini hapo??
 
Toka aingie JPM madarakani,
1. Wizi wa mabenki sijasikia,
2. Mauaji ya albino sijasikia,
3. Panya roads hawapo,
4. Etc
Amani ambayo inasemekana haipo ni propaganda za kwenye mitandao za wapinzani waliokosa hoja sasa hivi!
Rushwa kwa matraffic imezidi
 
Reactions: SDG
Hili ni tatizo la kushikiwa akili, akikwambia kamanda wa anga au wazungu basi unaacha kufanya tafiti wewe mwenyewe uliye eneo la tukio unamwacha mzungu aliyezuiwa kuchukua mchanga akulishe maneno, unategemea nini hapo??
Wewe ndo utakuwa umeshikiwa akili!
Watu kuwekwa ndani kwa muda mrefu kinyume na sheria (ubakaji wa sheria)
Kufunguliwa kesi zisizo na mashiko, eti uchochezi! Kuwachafua watu (wauza madawa) na kuwaweka ndani bila ushahidi! Majuzi aliwaonya wanaoandika habari za migogoro ya wakulima na wafugaji morogoro!
Ilhali migogoro ipo na niya siku nyingi!

Haya kayasema mzungu!? Wewe huoni!?
Usitukane watu, UMESHIKIWA AKILI"
 
Ss ww ndo unatupa taarifa badala ya serikali?kwa kutushutumu kua tulitaka serikali itupe taarifa.....! Ww unangoja yavuje tu toka kwa bashite,ndo ubwabwaje,
Kwakua nawe ni kibaraka
Mmojawapo wa bashite anayeiongoza nchi ss hivi.
Hakuna wa kuwaamini ccm na watendaji wenu wote kwataarifa yako !walahatuhitaji taarifa yyte toka kwa yyte ccm,wala serikali yake.
Manake mmekua waongo mno ! Maigizo yacyoisha,hizotaarifa czitakua na makengeza tu ya ccm na bashite ? Mpango wa maendeleo wa muda mfupi na mrefu unawashinda,wanachama,wabunge na mawaziri wenu,Waco na job diskripshen,ss huku kwa wananchi,mtatupa taarifa ipi yenye akili,na kueleweka ? Mnatuchosha tu,fieni mbali.
 
Sasa unatakaje.? si uhame nchi. maneno meeeeeeeeeeeeeeeeeengi. JPM ndio rais wa Tanzania kwa sasa, hutaki kajinyonge ufe kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Una kila dalili za ugonjwa wa akili
 
Kama ushauri aliupata toka kwa Kagame ambae kwake amani hakuna kabisa unategemea amani itakuepo huku...
 
Toka aingie JPM madarakani,
1. Wizi wa mabenki sijasikia,
2. Mauaji ya albino sijasikia,
3. Panya roads hawapo,
4. Etc
Amani ambayo inasemekana haipo ni propaganda za kwenye mitandao za wapinzani waliokosa hoja sasa hivi!
Kwa mtazamo wako hivo vitu vinne ndio 'amani'?? Bado sana kumbe...
 
Acheni Tanzania iko vizuri na ina muelekeo mzuri tu.

Mnataka ufisadi uachiwe tena kama miaka ya nyuma?

Mnafurahi wahindi wakimiliki TRA?

Mnaona raha kutoa rushwa ili kupata huduma hata za serikali?

Mnachukia kuletewa barabara za kisasa?

Mnafurahi wavuta bangi wakimtukana rais?

Na hili suala la vyeti nani aliewahi kuonyesha vyeti vyake kwenye mtandao? Hata hao walioachishwa kazi kwa vyeti feki vyeti vyao vilionyeshwa kweny facebook?

Acheni ukuda hapa, Alaa!
 
Rushwa hadi leo inadaiwa,na inatolewa.
Polisi,mahakamani,hospital rushwa ipo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…