Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Anatupeleka kwenye nchi ya NEEMA.
 
Kwa watanzania wenye akili timamu. Hali ya uchumi ni mbaya. Usalama wetu upo mashakani.

Sasa, tushirikiane tutumbue jipu
 
Tukutane jangwani, tufunge barabara na tusiondoke mpaka litumbuliwe.
 
Mkuu nilitegemea utaje vitu vyenye mashiko vinavyo fanya ujisikie mwenyewe kutokuwa na amani. Kwa ulivyo taja ni dhahiri kwamba hauna. Na kinachoendelea ni kutaka kuishi kwa kumtia hatiani makonda ili lengo lenu lifanikiwe. Nia yenu ni kumtoa makonda tu.Eti amani ya nchi imevurugika semeni tu amani ya mkoa wa Dar basi sio kukuza mambo. Kuna kpindi watu mnalishwa maneno hadi mnatia huruma. Uzuri Rais ameshawashitukia na akifanya jambo saivi ujue ni kwa utashi wake sio mnavyowaza nyinyi, Amani ya nchi haiwezi vurugwa na mtu mmoja hilo sahau. Amani ya nchi huvurugwa na wanachi wenyewe.
 
Sio tumepotea sema umepotea
 
Sijawahi ona nchi yoyote Duniani iliyokuwa kiviwanda katika kipindi cha mwaka mmoja kama wengi wanavyotaka kutuaminisha hapa. Jambo lingine ambalo naliona waliowengi wanasahau kama kuna wizara za kisekta zinazohusika kwa kila sekta, mbona hawahijiwi kama wenye dhamana na sekta zao? macho yote kwa Rais? hivi inawezekana Rais akafanya kila kitu? au ni negative attitude inayojengwa dhidi ya Rais ili tu aonekane hafai? tuwe wakweli wa TZ
 
Halafu muache kufuata mkumbo. Mtu anashona viatu pia anapiga kelele Magufuli kabana hela akishanywea pombe visenti vyake.
Kumbe kimsingi anapata pesa zaidi hivi sasa kwa sababu wanunuaji viatu vipya wamepungua wanaoshona viatu vyao vibovu wamekuwa wengi.
Muuza mkaa pia analia na Magufuli wakati mkaa umepanda bei.
 
Hasira za nini?
 
naskia malalamiko teleee juu ya serikali ya magufuli watu wanataka kikwete arudi wakati kwenye box walizuga wanapigia babu lowassa Iv hata wagombea wengine kama hashimu rungwe na fahm dovutwa hawafai kupewa kula ispokuwa ccm na chadema...dah

[HASHTAG]#najiskia[/HASHTAG] kujiteka

Humu jf namkubali sana ONTARIO jamaa saf ambae halalamikii DAUDI BASHITE kama sisi af wakuu wa mikoa mingine wana nn!?

[HASHTAG]#wala[/HASHTAG] vibaragasha

ukinidhania me Niko kinyume chako bas we mla vibaragasha

[HASHTAG]#usifanye[/HASHTAG] kosa 2020

stori inogile baada ya kupiga ban viroba sasa ni mkeka bet af ujiambie sbet tena hata iweje kesho best ako aje na bonus ya mkeka bet.

[HASHTAG]#ulimosimo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#serikali[/HASHTAG] ya vi-wonder
vi-wonder kutoka kwa wapigakura watiifu walioasi

MSINIHUKUMU
 

Ndugu yangu, mawazo yako ni mazuri sana na siku zote tabia ya mtu mvivu ni kulalamika. WaTz sisi ni wavivu kwisha. We fikiria ni kipindi gani cha urais ambacho watu hawakulalamika?
Yaani nguvu watu wanayotumia kulalamika humu wangeitumia kuchapa kazi na kulipa kodi vizuri, mbona tungeendelea sana! Halafu ni nchi gani iliyoendelea kwa mwaka mmoja? Sisi ni watu wa ajabu sana aisee. Hata kufikiri tu tumekuwa wavivu, dah!
 
Aseee mpaka Magu atoke Madarakan tutakuwa tumeisoma number vya kutoxhaa duuuh
Life ni Gumu kila kona.
 
Aseee mpaka Magu atoke Madarakan tutakuwa tumeisoma number vya kutoxhaa duuuh
Life ni Gumu kila kona.
Wewe ulikuwa na shughuli gani ya kukuingizia mapato kabla Magufuli hajaingia madarakani.Kama ulikuwa mla rushwa,mkwepa kodi,jambazi,mpiga dili,ulitumia vyeti feki,ulikuwa mfanyakazi hewa,ulikuwa mwanafunzi hewa nk imekula kwako.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…