Wewe naye kwa akili ya kawaida tu hao wageni watawaletea dawa hospitalini na kukupasulieni majipu wakifika Airport yenu au unaongea tu?1. Uliwahi kuona treni imekwama??
2.Watanzania peke yao ndio watakaotumia ndege hizo???
3.Kama hakuna viwanda hao wanafunzi wakimaliza kusoma wataenda wapi??
Mkuu una chuki binafsi asingefanya hayo pia ungesema acha tu Our President aendelee na makamuzi
Ni maelezo au suala???[emoji18] ukiona watu wanaumia wakiambiwa ukweli ujue ujumbe umewafika vizuuri!! Usiwe na haraka hayo mambo yanafanyika usitake sehemu zooote zifanywe siku moja tanzania si nyumba ya familia ambayo unaweza ukasema leo watu watakula nini??Wewe naye kwa akili ya kawaida tu hao wageni watawaletea dawa hospitalini na kukupasulieni majipu wakifika Airport yenu au unaongea tu?
Ok, lakini kuna vitu vya msingi km suala afya ya jamii, hizo pesa za ndege zingenunulia madawa angalau na kuajiri madaktari hata mara mbili ya hao alitoa waraka wa ajira zao.Ni maelezo au suala???[emoji18] ukiona watu wanaumia wakiambiwa ukweli ujue ujumbe umewafika vizuuri!! Usiwe na haraka hayo mambo yanafanyika usitake sehemu zooote zifanywe siku moja tanzania si nyumba ya familia ambayo unaweza ukasema leo watu watakula nini??
Tukikaribia Kitonga niamshe mkuu.Acha matusi. Kama umepotea ni wewe mwenyewe sisi tunajua tunakokwenda na rais JPM anaongoza msafara wetu.
Acha matusi. Kama umepotea ni wewe mwenyewe sisi tunajua tunakokwenda na rais JPM anaongoza msafara wetu.
Unanipa hasira sanaWakuu;
Mimi sio mchoyo wa fadhila nachukua fursa hii kumpongeza rais Magufuli kuingia ofisini kwa takribani miaka miwili mpaka october kwa mision moja tu ya kuteua na kutumbua kwa kweli sio kaz nyepesi kuteua watumishi katika idara mbalimbali za serikali na kuzijaza na akina Mrema nadhani rais anapaswa kupongezwa.
Kuhusu ugumu wa maisha kama kupanda kwa bei ya vyakula hususan unga kwa kweli hatupaswi kumlaumu rais kwa kuwa bado anateua akimaliza atahamia kwenye tatzo hilo katika kipindi kilichobaki kwani tunapaswa kumpa muda.
Hongera, jp20
Teuzi na tumbuzi sio mchezo...
Kawapa kibali cha kupoteza watu kabisa . .Maandamo hakuna kwa sababu jamaa ni dikteta na amewapa mamlaka wanajeshi kuvunja na kuwajeruhi vibaya kabisa raia
Who are you Metsada to threaten members of JF . . , you seems to talk with authority of the EVIL . . !wewe ni muongo na MHAINI: ACHA UZANDIKI
Unalinganishaje matukio ya miaka 2 ya JPM na miaka 10 ya Jk wee zuzu . . ??!Mkuu unapokuwa na usingizi ni bora ukalale uumpe mwili nafasi ya kupumzika kuliko kung'ang'ania mitandaoni na kujikuta unapost vitu vya ajabu. Hivi unaweza kutuma ushahidi wa kipindi cha JK na kipindi cha JPM idadi ya matukio ya ukosefu wa amani?