duuh kwa hiyo wanakuwa wanawaandaa ma rc's na dc'sNa walimu wasilaumiwe kwa division zero make hao ni future wakuu wa mikoa
Kwa hili nimeamini kweli huyu Bashite ana vyeti feki na wengi wapo kwenye huu utumishi wa umma wasio na sifa sitahiki wanalindana ila hakuna marefu yasio na mwisho sheria zipo wazi kiswahili chetu kiatupa uwezo wa kudadisi zaidi.Huwezi kuwa CCM alafu ukapinga yanayofanywa na mwenyekiti na chama kwa ujumla.kwani uozo na mauzauza yameanza na magufuli?.kuwapo kwenu madarakani kwa miaka takriban 50 ndiko kumetufikisha hapa tulipo.Falsafa nzima ya CCM imeegemea katika kubebana,unafiki na hadaa.kubebana kumekuwepo tangu kipindi cha nyerere ndio maana viwanda vingi vilivyoanzishwa kipindi kile vilikufa sababu ya kuwekwa makada wa chama wasio na elimu wala weledi.Ni unafiki kujinasibisha na haki ilhali uko kwenye chama kinachosifika kwa uminyaji wa haki.
Sio kweli kuwa nikiwa ccm nakubaliana na kubalianana kila jambo.ndio mana nikasema kwa hili japo mim ni ccm sikubaliani nalo na wala si kosa kwa mwanaccm kutoa mawazo yake..Huwezi kuwa CCM alafu ukapinga yanayofanywa na mwenyekiti na chama kwa ujumla.kwani uozo na mauzauza yameanza na magufuli?.kuwapo kwenu madarakani kwa miaka takriban 50 ndiko kumetufikisha hapa tulipo.Falsafa nzima ya CCM imeegemea katika kubebana,unafiki na hadaa.kubebana kumekuwepo tangu kipindi cha nyerere ndio maana viwanda vingi vilivyoanzishwa kipindi kile vilikufa sababu ya kuwekwa makada wa chama wasio na elimu wala weledi.Ni unafiki kujinasibisha na haki ilhali uko kwenye chama kinachosifika kwa uminyaji wa haki.
wapandaji wenyewe wako wapi??? abiria wamepungua sana wanaopanda bodaboda.Bodaboda wanatuacha mbali mkuu
Ukiwa na boda boda nne, kwa mwezi unakunja karibu milioni,
Acha uongo mkuuwapandaji wenyewe wako wapi??? abiria wamepungua sana wanaopanda bodaboda.
nadhani umebeba ukoo wako wote upo uko ulipo, vinginevyo tunakoma wote mpaka ndugu zako kasoro wewe tu wa bondeni.Watz mtakoma na serikali yenu si wengine tumejikataaa tupo bondeni huku tunatibu watswana endeleeni kusema hapa kazi tuuuu fyuuuu
uongo upi???? ushajaribu kufwatilia na kujua ukweli ???Acha uongo mkuu
Kikawaida unapotea kama unajua unapoelekea. Kwa hali ilivyo sasa. Kwa kuwa hatujui tunapoelekea for sure hatujapotea na nnachoweza kusema tupo kwenye roli na roli linachanja buga kuelekea tusipokujua.Mwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa?
Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Labda umepotea wewe na familia yako. Mlizoe Upigaji, Sasa Kila Kona Kumebana Mnalalamika, Na bado. Piga Kazi Rais JPM
Binafsi nadhani ana nia nzuri.
Lakini sidhani anajua anakoelekea.....
Yupo yupo tu.
Mwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa?
Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Hahah mkuu bwana sasa unawezaje kuwa kwenye chama cha wakulima then ukawa huna interest na kilimo,ama chama cha kutetea haki za mashoga then ukawa huusapoti ushoga.Hivi unafahamu maana ya chama kweli mkuu?Sio kweli kuwa nikiwa ccm nakubaliana na kubalianana kila jambo.ndio mana nikasema kwa hili japo mim ni ccm sikubaliani nalo na wala si kosa kwa mwanaccm kutoa mawazo yake..
Unaupeo mdogo wakufikiri yani umezidiwa hata na kukuNi wasiwasi wako tu; umepofuliwa na chuki za kushindwa ya kura nyingi za Watanzania kukataa ukabila na ukanda. Huoni wafanyakazi hewa kufutwa? Na wanafunzi hewa? Na miradi hewa? Na madawa ya kulevya? Na ufisadi? Na uzembe? Huoni Shirika la Ndege kufufuka sisi Taifa kubwa pande hii ya dunia hatuna airline? Huoni treni za standard gauge? Huoni bomba la mafuta kupitia Tanga? Umeme Vijijini huuoni, siku hizi unaenda hadi Rorya na Tandahimba na Nzega, huko zamani ilikuwa ni migombani tu. Huoni shule ziko nchi nzima, si Kaskazini tu? Huoni uchumi kukua, huoni inflation kupungua? Toa mawani meusi ya ukabila na udini na ukanda, utaona tunaenda wapi. WM.