Marco shija
Member
- Sep 20, 2015
- 64
- 36
Katiba ni kuongoza miaka 10 mfululizo baadae unaweza kugombeaNaskia kikwete ana mpango wa kugombea 2025...kinyume cha katiba lakni...sjui watanzania mtamkubalia? Mana huko upinzani ndo giza kabisaaa
Inawezekana wakawa wamejiunga group wakafika hapo walipofika na nadhani ni wahitimu wa Udsm lakini wametoka kimaisha wengine kwa kulima tu bustani za mbogamboga wamenunua magari,Hao wameanza na nauli tu ya kwenda Mkuranga ?
Well saidMkuu kwani hayo mapori viongozi hawayaoni? Mbona wao wanang'ang'ania ofisini wakati wana mitaji? Kama mapori ni mali usingeona wakilazimisha watoto wao na ndugu zao kupatiwa kazi maofisini.
Kwahiyo ndugu yangu unakaa kijiweni kusubiria mbowe au seif waje kukujengea uchumi wako na ndugu zako? umepotea njiaZaidi ya miaka 2 sasa mambo ya msingi na ya haki kwa watu wanyonge yamesimama huku wengine wakiendelea kutumbua nchi kama kawaida
- Mshahara wa mwalimu 300,000 increment ananyimwa kibabe huku wengine wakilipana posho ya siku tu 400,000
- Ajira kwa vijana zimekuwa za tochi, tena zinatolewa kwa kuviziana na kukomeshana, vijana hawana tumaini
- Si vijana, kinamama, wala yoyote aliye salama sasa maana hata kidogo chako kinaweza kuchukuliwa
- Upinzani nako kila mtu anajitahidi kujenga uchumi wake binafsi, ndugu zake, familia yake na watu wake.
Mimi ni nani, sina ndugu wala baba mbunge wala kiongozi wa chama cha siasa, wala mtu wa kabila langu atakayenibeba hata kwenye interview ya kampuni ya ulinzi licha ya kuwa ninazo sifa zote
Dunia dunia dunia dunia
Anayesononeka,
MoseKing
Hayo mashamba yamerudishwa sababu ya kutokuendelezwa zaidi ya miaka 20 ni mapori, wakati kuna wananchi wanakosa ardhi ya kulima na kufuga wakulima na wafugaji wanauana sababu ya kugombea ardhi kidogo wakati watu wamekalia tu ardhi ya serikali bila kuiendeleza lazima wapewe wananchi wenye uhitaji nayo.Unampora shamba/pori mwenye uwezo wa kulilima kwa mashine unampa mtu anayekuja na jembe la mkono na panga, huo si wendawazimu. Nilitaraji akishapora apeleke dozzer kusafisha hayo mapori kisha agawe drip system na pembejeo nyingine kama mbolea na viuatilifu ili kufanyike kilimo chenye tija. Sasa unampora mtu pori kwa sababu ya tofauti za kiitikadi, wakati huohuo pembeni ya huyo uliyempora kuna pori tupu watu hawalitaki kama sio fikra duni ni nini?
Hayo mashamba yamerudishwa sababu ya kutokuendelezwa zaidi ya miaka 20 ni mapori, wakati kuna wananchi wanakosa ardhi ya kulima na kufuga wakulima na wafugaji wanauana sababu ya kugombea ardhi kidogo wakati watu wamekalia tu ardhi ya serikali bila kuiendeleza lazima wapewe wananchi wenye uhitaji nayo.
Sasa shamba upewe bure, unataka tena wakulimie na kukuchimbia maji? Dah wewe tafuta shughuli nyingine tu ya kufanya.Nielewe ndugu, simtetei Sumaye kwani hanisaidii lolote, pakia basi nenda mpaka kigoma, sehemu kubwa ni mapori tena mazito. Sio kwamba watu hawayaoni, bali uwezo wa kuyageuza kuwa mashamba ndio ngoma. Ndio maana nikasema kama kweli serekali ina ni njema ya kuwapa wananchi mashamba ni lazima watenge fungu la kufanya hivyo. Watoe madozzer kwenda kusafisha hayo mapori, wachimbe maji kwenye maeneo hayo, watoe pembejeo uone kama watu hawajaenda wenyewe. Hii kusema unawapa watu mashamba ambayo ni mapori nao watabaki wanayamiliki yakiwa mapori hivyohivyo bila tija.
Sasa shamba upewe bure, unataka tena wakulimie na kukuchimbia maji? Dah wewe tafuta shughuli nyingine tu ya kufanya.
wanadili hao mnajuaHiyo DEAL Iko wapi ?
Ukisoma ilani ya chama chako ndo utajua ya kuwa alipania kuitoa nchi kuipeleka sehemu....Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]NAONA ANATUPELEKA CANANI!
Acacia wanadai Trilioni 5
Ile meli ya samaki za Magufuli,wenyewe wameamka wanadai Trilioni 1.2
Jumla trilioni 6.2, hii no hasara tuliyopata kutokana na wewe kuvunja mikataba na taifa litatakiwa kulipa,
Hizi trilioni ni sawa na makusanyo ya kodi ya miezi sita
Bado bilioni 87 za wale jamaa waliokamata bombadia
Ile sheli ya MWARABU uliyovunja mwanza tulilipa mamia ya mabilioni
Wizara ya ujenzi inaongoza kwa kushtakiwa na wananchi na kudaiwa matrilioni
Sasa Mimi nakuuliza,tangu tupate Uhuru,ni maamuzi ya waziri gani/kiongozi yaliyolitia hasara taifa zaidi ya trilioni 6? Na huyo ni waziri mmoja/kiongozi
Tumesikia mawaziri wanaofata sheria na taratibu wakiitwa wapumbavu kwa kuchelewa kuamua,je wafanye maamuzi kama yako yatakayoitia serikali hasara ya matrilioni? Kufata sheria na taratibu imekuwa upumbavu siku hizi?
Sasa kila waziri akikurupuka na mwishowe akaishia kuleta madeni ya trilioni 6,na nchi INA mawaziri zaidi ya 30,si nchi itakuwa inadaiwa trilioni 180?
Sisi tunataka utuambie wewe mwenyewe,wewe binafsi,bila kutumia kodi zetu,umejipangaje kuwalipa hizo trilioni 6
Binafsi naamini madeni yote ya kuvunja mikataba kutokana na maamuzi yako yanaweza kufika trilioni kumi,zikikusanywa kesi zote za pale wizara ya ujenzi na sasa ukiwa mkuu,
Hii no hasara iliyoletwa na mtu mmoja tu!