Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Huyu anaipeleka nchi kuzimu
 
Kuna viongozi wavuta bangi WAPOO kwani wanamaamuzi kii." Ney wa mitego.
 
Ukiona bandiko limepitiwa na watu 142 wamechangia watu 8 ujue wachangiaji wamegundua una akili za Lisu ndiomaana wamelipuuzia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Jamaa anawasikilizia tu! Kwa kuwa huwa hawezi kukaa kimya, siku akizungumza na vyombo vya habari atajibu hoja zenu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maskini watz wanaodaiwa kodi mitaani,wauza mitumba na sahani za njugu ndio watakaolipa madeni na kuendea kudidimia kwa hali za maisha yao na watoto wao kwa miaka 50 ijayo.
sasa tusubiri hilo deni la mchanga wa dhahabu hilo litakuwa trilion 10 peke yake
 
Hayo madeni yatalipwa kwa kutumia misaada mbalimbali tunayopokea kutoka kwa wahisani, mfano pesa ya Thisisbillgates.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…