Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Hayo madeni yatalipwa kwa kutumia misaada mbalimbali tunayopokea kutoka kwa wahisani, mfano pesa ya Thisisbillgates.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
khaaaa....utalipa wewe kupitia kodi unayolipa...na watawala wanaona fresh tu
 
Unahisi gharama ya kuvunja mkataba inazidi thamani ya madini yaliyopo? Kama jibu ni NDIYO hamna haja ya kuuvunja huo mkataba, ila kama jibu ni SIYO mkataba huo wa kinyonyaji uvunjwe! Hatuwezi kukubali kuendelea kuona tukiibiwa kwa kuhofia gharama za kuvunja mikataba hiyo mibovu.
 
Nasubiria shujaa atakae peleka impeachment bungeni
 
Hahahhahah...ndivyo mnavyodanganya watu???? hapo mmeshitakiwa kwa kuzuia makininkia..mahakama itawaamuru kuilipa Tanzania...na itawaamuru muyaachie makinikia
 
Ili tusilipe yaan tuwadhulumu inabidi awe rais wa milele!

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Hahahhahah...ndivyo mnavyodanganya watu???? hapo mmeshitakiwa kwa kuzuia makininkia..mahakama itawaamuru kuilipa Tanzania...na itawaamuru muyaachie makinikia
Mleta uzi kasema tunatakiwa kuwalipa acacia 5 trillions kwa kuvunja mkataba.
 
Ili tusilipe yaan tuwadhulumu inabidi awe rais wa milele!

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
Acacia wana bima ya kimataifa inayodhaminiwa na benki ya dunia,wakishinda tukakataa kuwalipa,wanaenda benki ya dunia,benki ya Dunia inaanza kusaka akaunti za serikali nje ya nchi pamoja na Mali za Tanzania
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…