Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Story kwetu ni rais akitembelea FERI wakat ipo pembezon mwa ukuta wake.

Nchi ya ajabu kbs hii. Hakuna mradi hata mmoja unaoendelea pale zaidi ya wachuuzi kukaanga dagaa mchele na kuunguza soko.

Anakwenda FERI kufungua nn? Kuswap machine za electronic za kulipia pantone ama?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu u are very correct..

Huyu jamaa amefeli completely..

Kuna sababu nyingi zilizopelekea hali kuwa hivi. Pamoja na namna alivyovuruga mifumo mingi hasa ya uchumi na biashara,hakuna kosa KUBWA alilofanya kama la kuvuruga DEMOKRASIA hii Nchi ambayo ilikuwa imefikia.

Hivi sasa Tanzania isn't a DEMOCRATIC Country.

Nchi hii ili iende mbele inahitaji investors hasa Foreign Investors. Hawa ndio watakuja kuwekeza, ajira zitapatikana,kodi itapatikana na uchumi kufunguka.

Hakuna foreign investor anayeweza kuja Tanzania hivi sasa.

Kitu cha kwanza muwekezaji kabla hajaamua kwenda kuwekeza kwenye Nchi yoyote anatizama hali ya DEMOKRASIA kwenye Nchi husika. Nani atakuja kuwekeza mahali ambapo hujui kesho yako??

Hakuna foreign investors hakuna uchumi utakaokuwa kwa Hizi zetu za Africa.

Ndio maana Kenya a lot of investors are running into that Country. Wana problem ya Ethnicity,wana problem za hapa na pale za insecurity lakini Kenya is a Democratic Country. Hiyo tu ni uhakika mkubwa kwa investors.

CCM wao bado wana hang over ya UJAMAA .................!!
 
Hapana mkuu. Wamesema nini!!?
Wanampongeza sana na wako nyuma yake kuhakikisha kwamba Tanzania unapita hatua kubwa kwenye maendeleo.

Nilitegemea wamuulize kuhusu uchumi wa nchi kushuka licha ya kuongezeka kwa kiwango cha ukusanyaji kipato

Nikategemea wamuulize kuhusu ajira kwan kuna graduates wa miaka 2+ wako mtaani hawana kazi na waliopo wanasimamishwa kazi.


Nilitegemea wamuulize wazir wa kazi na maendeleo ya vijana amerasimisha kazi Gani na mianya ipi mipy ya kazi ambayo imetengenezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunapelekwa kwenye nchi Ya ahadi tulia tu utashuhudia tunavyoinyatia nchi hiyo bwana magugu aliyohaidiwa
 
  • Wanaosikiliza hawasikii na maasi yanatuzonga. tunasonga kwa mwendo wa kinyonga na Maadui wametanda, siyo nje wala ndani. Anaendesha kaya kwa visasi na yu mwingi wa Roho mbaya.
  • Ndani ya zizi la kondoo kumbe mwenzetu ni mbwa mwitu..
  • Ametumbua watu wengi wasio na hatia huku akikoshwa na miruzi ya wapambe..."Tumbuaa..."
  • Jamaa amefanya watu wengi tuishi ki-uadui. visasi vinajigonga ili vifuate kufuatwa na wafuasi wake wanajinyonga ili wafuatwe...
  • Kila mtu kwake ni mpiga dili...si mama ntilie, walimu wa secondary na msingi...kwake wote ni wezi na wapiga dili. huyu jamaa anapenda sifa na majivuno ndo msingi wake
  • Huyu jamaa amekuwa nongwa, na wengi washakufa kwa sababu yake. wengi wamejinyonga na wengine kufa kwa kisukari na presha kupanda....
  • Huyu jamaa ana ugonjwa, ugonjwa wa inferiority complex. wauguzi na wapambe, wameshindwa kumwambia...
  • Huyu jamaa amefunga wapinzani, wafanyabiashara na hata watu wengine wasiomkubali.
Kuruta shituka jamani acheni mashuka kitandani kwani moshi unafuka dukani (TZ), vitani tunasonga. Usiku akili huruka na si utani tunasafiri na mbele kumechafuka. Amka kuruta...gangamala ili tumng'oe Mfalme john (pogba) Na bendera inazidi kupepea nusu mlingoti....makamanda hii ndo report!
 
Mleta mada angalia tu,usije ukapimwa UTI hatukosolewi sisi ni wana watukufu kabisa hatujawahi wala kukwapua Mali za mtu hata kile kivuko kibovu ilikuwa bahati mbaya tu kuonekana ni kibovu lakini kipya kabisa kimetengenezwa hivi karibuni yaani mwaka 1928 si juzi tu.
 
Mleta mada angalia tu,usije ukapimwa UTI hatukosolewi sisi ni wana watukufu kabisa hatujawahi wala kukwapua Mali za mtu hata kile kivuko kibovu ilikuwa bahati mbaya tu kuonekana ni kibovu lakini kipya kabisa kimetengenezwa hivi karibuni yaani mwaka 1928 si juzi tu.
Hahaha...umetisha kamanda!
 
Huu wombo ni wimbo bora wa muda wote wa hip hop tz...sidhani kama utatokea wimbo wenye ujuzi wa maneno kama huu
Ni kweli kabisa mkuu. Kikosi cha mizinga walikuwa on-fire kipindi hicho. utabaki kuwa wimbo bora wa muda wote katika historia ya hip hop Tanzania..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom